Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu JF amani iwe nanyi. Ni kada ya wavaa Uniform ambao wanaishi kwa dhiki sana. Hawa ma Bwana ukienda kwenye Makambi yao utaona namna wanavyoishi kwa taabu, mabanda ya Mabati yenye Partitions...
2 Reactions
6 Replies
435 Views
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi) MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA: CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT-...
0 Reactions
4 Replies
393 Views
Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao. Mzee Makamba...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Nimeona kuna hili limepenya kwenye hatua za awali za mchujo wa ubunge kwenye moja ya majimbo huko Arusha? Je mtu huyu ni nani na je ana undugu na aliyewahi kuwa PM Mizengo Pinda??
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania? Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii! Niwatakie jumapili njema.
13 Reactions
99 Replies
15K Views
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye...
15 Reactions
137 Replies
11K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho Mkoa wa Arusha wakiongozwa na mbunge wa viti maalum, Catherine...
20 Reactions
409 Replies
45K Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni." Akizungumza leo Julai 31...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Mstaafu Kikwete amesema hapo Kwala kuna Mzee Kisebengo ambaye ana utaalamu wa kufunga mvua My take; Mzee Kisebengo atunukiwe PhD ya Causa 😄🙏
1 Reactions
21 Replies
1K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na Rais Mteule na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Biashara ya Afrika (Afreximbank), Dkt. George Elombi na kuainisha...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Nimeshangazwa sana na video ya mbunge wa vijana (CCM) Catherine Magige ambaye hana hata jina katika nchi hii akimshambulia mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM). Katika video hiyo, ameonekana...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
MBUNGE CATHERINE MAGIGE YUKO MAJI YASHINGO UCHAGUZI UWT ARUSHA. Wadau wa JF, Wakati uchaguzi wa UWT wilayani Arusha ukitaraji kufanyika kesho hali imeelezwa kuwa mbaya sana kwambunge wa viti...
0 Reactions
44 Replies
12K Views
Huyu mbunge wa viti maalumu Catherine Magige CCM amekuwa msaada mkubwa sana wa kuwasemea wana A town katika kushughulika na kero zao. Ikumbukwe pia mbunge Lema amekuwa akijihusisha zaidi na mambo...
4 Reactions
46 Replies
8K Views
Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Catherine Magige, amechangia sare 1,300 zenye thamani ya shilingi milioni 35.1 kwa wajumbe wa Baraza la UWT Mkoa wa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hakuna asiyejua kwamba mtawala aliyepo sasa ni mkandamizaji na muuaji dhidi ya raia wake wanaokosoa utendaji wake. Analitumia jeshi letu kwa ujumla wake kama jeshi lake binafsi. Tumeona baadhi ya...
18 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwnaharakati machachari na mzalendo wa Chama cha Mapinduzi, aliyependa na kupendwa sana na hayati Magufuli Cyprian Musiba amesema hajaelewa sababu walizotumia viongozi wa chama kukata jina lake...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu mpo wazima hapa. Leo nimewaza tu. 1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania 2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake...
32 Reactions
173 Replies
8K Views
Mitaala yetu inafundisha Kiingereza kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo vikuu. Kuanzia elimu ya sekondari hadi vyuo vikuu lugha ya kufundishia ni kiingereza tu. Tanzania ina watu wengi (90%)...
5 Reactions
17 Replies
735 Views
Back
Top Bottom