Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,255
- 10,248
Wakuu JF amani iwe nanyi.
Ni kada ya wavaa Uniform ambao wanaishi kwa dhiki sana.
Hawa ma Bwana ukienda kwenye Makambi yao utaona namna wanavyoishi kwa taabu, mabanda ya Mabati yenye Partitions zinatozenganishwa na ma Box.
Afisa mwenye Nyota tatu begani anaishi Nyumba ya chumba na Sebule, Store uwani huwa inafanywa kuwa Chumba.
Msiwashangae sana mkiona wana m miss treat Tundu Lissu Mahakamani, wanataka Spotlight, waonekana na kupata Umaarufu
Wanafanya show off zisizo na Maana kwenye Viunga vya Mahakama.
Zile Bunduki sijui hata wanamuoneshea nani pale Mahakamani.
Hawa ma Bwana ni kuhurumiwa
Wajifunze kwa yule Professional Correctional Officer wa Zambia aliyempa haki stahiki Hichilema wakati yupo Gerezani kwa kesi ya Ubaini, yule Correctional officer alikuja kupandishwa cheo na Raisi Hichilema na kuwa Naibu Kamishna Generali wa Zambia Correctional Services