Onyo la CDF: Ilikuwaje CCM ikampitisha Ssebuyoya (mrundi)anayejaza warundi nchini kuwa mwakilishi wa vijana

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa .

Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital (teuli)ya Murugwanza ya ngara akahamia biharamulo na kujiunga na CCM kisha kugombea ubunge na kuwa namba moja kabla hajakatwa jina na kubakia mwakilishi wa vijana taifa mpaka sasa.

Kwa sasa Dkt. Ssebuyoya ni Dkt Mkuu wa hospitali teule ya Biharamulo na anatuhumiwa kujaza warundi wenzake hospitali hapo huku watanzania wakibaki hawana kazi, amulikwe haraka

Kwa kuwa onyo la Mkuu wa majeshi lipo bayana na serkali kupitia Rais amekubali kufanyia kazi basi kuna haja ya vyombo vya uchunguzi vimulike watu kama hawa wanakuja nchini kwa malengo ovu .

USSR
Screenshot_20240307-172356.jpg
 
Wewe achana na.haya.mambo!

Unaijua Tanganyika ya zamani kabla haijawa Tanzania!!?mipaka kabla ya wakoloni!!?hiyo Rwanda,Burundi n.k ilikua Tanganyika!!

Unaijua nasaba ya Baba was taifa hili !!?Mama mrundi Baba mnyarwanda SI ndio!!?

Ile kauli ya cdf ni ya kimkakati sio kama unavomaanisha!!

Labda Kuna njama ya jamaa kutoka nje yaani nchi jirani anautaka u namba Moja kwa msaada wa Raia namba Moja WA nchi nyingine jirani!!

Kama ni Hilo lazima hatua zichukuliwe,lakini Kwa Hawa wazawa waliomo humu ni watz was kuzaliwa!!

Pigania katiba mpya hata akiingia yeyote kuwe na spidi gavana nza kumfunga ili asiharibu!!

"Ajaye asiharibu,kitabu kikamilike" by Tumia akili thread!!
 
Hata ikibainika kuwa Wazazi wake waliingia Tanzania wakiwa Wakimbizi, leo hii Medical Doctor anahitajika kila Nchi Duniani, apewe tu Form ajaze ili aasiliwe na kuwa Mtanzania kwenye makaratasi..

Nchi inahitaji Madaktari hii.
 
Hayo majungu; kasoma hadi kuwa mganga mkuu wilaya, mkimbizi angepata wapi ujasiri kujiunga chadema nyakati kama za magufuli? Zama ambazo hadi kina Niwemugizi walipata msukosuko!

Kuna kasumba mbaya sana imejengwa kwamba waha na wahangaza si raia wa nchi hii, sijui aliyeianzisha alikuwa na lengo gani hasa.
 
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa .

Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital (teuli)ya Murugwanza ya ngara akahamia biharamulo na kujiunga na CCM kisha kugombea ubunge na kuwa namba moja kabla hajakatwa jina na kubakia mwakilishi wa vijana taifa mpaka sasa.

Kwa sasa Dk Ssebuyoya ni Dk Mkuu wa hospital teule ya Biharamulo na anatuhumiwa kujaza warundi wenzake hospital hapo huku watanzania wakibaki hawana kazi .amulikwe haraka

Kwa kuwa onyo la Mkuu wa majeshi lipo bayana na serkali kupitia Mh .Rais amekubali kufanyia kazi basi Kuna haja ya vyombo vya uchunguzi vimulike watu kama hawa wanakuja nchini kwa malengo ovu .

USSRView attachment 2928321
Watanzania wa huko wakiugua wasikubali kutibiwa na Mrundi huyu,wagome kabisaa maana ni Mrundi.
 
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa .

Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital (teuli)ya Murugwanza ya ngara akahamia biharamulo na kujiunga na CCM kisha kugombea ubunge na kuwa namba moja kabla hajakatwa jina na kubakia mwakilishi wa vijana taifa mpaka sasa.

Kwa sasa Dk Ssebuyoya ni Dk Mkuu wa hospital teule ya Biharamulo na anatuhumiwa kujaza warundi wenzake hospital hapo huku watanzania wakibaki hawana kazi .amulikwe haraka

Kwa kuwa onyo la Mkuu wa majeshi lipo bayana na serkali kupitia Mh .Rais amekubali kufanyia kazi basi Kuna haja ya vyombo vya uchunguzi vimulike watu kama hawa wanakuja nchini kwa malengo ovu .

USSRView attachment 2928321
RUKWA kuna MNYARUANDA Mwenyekiti wa Ccm mkoa tena Anataka kugombea UBUNGE NKASI NCHI HII HAINA MWENYEWE
 
Hayo majungu; kasoma hadi kuwa mganga mkuu wilaya, mkimbizi angepata wapi ujasiri kujiunga chadema nyakati kama za magufuli? Zama ambazo hadi kina Niwemugizi walipata msukosuko!

Kuna kasumba mbaya sana imejengwa kwamba waha na wahangaza si raia wa nchi hii, sijui aliyeianzisha alikuwa na lengo gani hasa.
WENYEWE WANAJISEMA WAO SIO ASILI Yyetu...tz.... mamlaka zikiwasogelea wanajiapiza kuwa ni wa tz na sio kutoka huko... tena kama mtu akiwa na kaasili ka ututsi....atajifaragua huyo....kama ni mdada acha kabisa... watz tunaponzwa na kutojikubali na kudhamini sana vya vigeni...au wageni...
 
Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa .

Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital (teuli)ya Murugwanza ya ngara akahamia biharamulo na kujiunga na CCM kisha kugombea ubunge na kuwa namba moja kabla hajakatwa jina na kubakia mwakilishi wa vijana taifa mpaka sasa.

Kwa sasa Dk Ssebuyoya ni Dk Mkuu wa hospital teule ya Biharamulo na anatuhumiwa kujaza warundi wenzake hospital hapo huku watanzania wakibaki hawana kazi .amulikwe haraka

Kwa kuwa onyo la Mkuu wa majeshi lipo bayana na serkali kupitia Mh .Rais amekubali kufanyia kazi basi Kuna haja ya vyombo vya uchunguzi vimulike watu kama hawa wanakuja nchini kwa malengo ovu .

USSRView attachment 2928321
Tiwe makini jamani hawatu wakiingia wanavutana kama smaku na kushika fursa za raia wa tanzania. Ni nepotist kwelikweli.
 
Sema warundi ni wajanja sana wanajua kujichomeka sehemu nyeti. Ila one day we will unit them na Rwanda kuwa mikoa yetu.
 
Back
Top Bottom