Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watiania ya ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini wameendelea kujinadi mbele ya wajumbe wa CCM, akiwemo aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Akizungumza leo, Julai 31, 2025, mbele...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
NILIIONA HII HALI Tukiweka misingi imara ni vyema tuisimamie Ninaona wagombea udiwani Waliongeliwa na walikuepo kwenye orodha wamerejeshwa kupigiwa kura za maoni na wajumbe Sasa mjiandae na...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Kimsingi utamaduni hujengwa na Rejea mbalimbali za mila na desturi 2025 ni Uchaguzi wa kwanza uliotanguliwa na kifo cha Rais na baaae kurithiwa na makamu wake, hii haijawahi kutokea tangu...
0 Reactions
13 Replies
608 Views
Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF. Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k...
17 Reactions
68 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhwani Kikwete amewataka wakuu wa taasisi kuhakikisha wanatengeneza mazingira rafiki kwa wale wanaowaongoza ili...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Ni mwoga kusema ukweli unao uma na kuchoma kwa walio madarakani.......anajaribu kuwachma na anapuliza kwa mbali. Nilitegemea aseme UKWELI kama Lisu anavyosema hii ni black and this is white and...
5 Reactions
18 Replies
955 Views
UCHAGUZI UWT MKOA WA LINDI Tarehe 30-Julai-2025, Umoja wa Wanawake Tanzania- Chama Cha Mapinduzi- UWT Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kuchagua Wabunge wa Viti Maalum- kuwakilisha Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza...
5 Reactions
215 Replies
11K Views
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Lusahunga – Rusumo yenye urefu wa kilomita 92 kwa kiwango cha lami mradi utakaogharimu kiasi cha shilingi bilioni 153. Akiongea na...
4 Reactions
63 Replies
8K Views
Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji leo Mei 27, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha...
5 Reactions
12 Replies
919 Views
Shule ya Meta Sekondari ambayo miaka kadhaa kabla ya Uhuru ilijulikana kwa jina la N. A. Middle School, ni moja ya shule za boding'i za wavulana tu na baada ya Uhuru ikajumuisha na wasichana...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Taifa hili lingekuwa na katiba bora ambayo imelenga kulinda maslahi ya taifa hili haya mnaolalamikia yasingekuwepo Mara sasa hichi ni chama cha kisulutani, mara kuna rushwa ya ngono oh mara...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Mfanyabiashara Maarufu Duniani na Mwenye connection zake nchi nzima. Ametoswa na Wajumbe kwa sasa anategemea huruma ya Kamati Kuu. Ikiwa watakumbuka mazuri aliyowatendea siku zilizopita.
1 Reactions
9 Replies
923 Views
Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani ni muhimu tufahamu CV,ya huyu mpambanaji wa taifa letu pendwa. Maana amejilupwa sana. Alikosoma yeye na lisu ndo tuanze kupeleka wajukuu zetu huko. Elimu yake? Exposure yake? Kabila lake...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wewe unaye tuzimia mitandao naona unavuka mipaka yako usijione wewe ndiyo bora kuliko watanzania nakuonya. Tusizime mitandao kama tunazima tochi, kuna watanzania wana biashara na familia...
6 Reactions
10 Replies
736 Views
Wakuu hii haijakaa sawa kabisa. Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao . We are not serious.
15 Reactions
52 Replies
2K Views
Lengo letu si kushabikia mambo ya ccm, maana hayatuhusu, lakini tunalazimika kuandika haya ili kuonyesha Ukuu wa Mungu.
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Huu ndio uhalisia wa Polisi wa Tanzania? Wakivua Sare za Polisi ndio unaona sare yake halisi. Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania kwenye baadhi ya matukio? Hapa ni...
16 Reactions
54 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mtia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Arusha Mji aliwahi kusema, "Kama Mungu aishivyo, mimi ukiniweka kwenye Kaburi nitafufuka tu!"
0 Reactions
8 Replies
581 Views
Back
Top Bottom