Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , Rejea mada tajwa . Mh aliekua Mbunge wa bunge la JMT ,tulipenda sana tumia jina la mh Bwege, kuna kipindi ndani ya Bunge aliwambia wabunge wa ccm na serikali...
1 Reactions
3 Replies
425 Views
I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani. Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri...
18 Reactions
26 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mitaani kunazidi kunoga ,mitaani kunaendelea kupambazuka,mitaani kunaendelea kuchangamka ,mitaani kunaendelea kuleta raha,mitaani kunaendelea kufurahisha ,mitaani...
0 Reactions
15 Replies
708 Views
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, akizungumza kupitia Jambo TV amesema, "Ndani ya Chama Cha Mapinduzi lazima kuwe na Wanakosa, hamuwezi wote kuwa Chawa, sasa kitakuwa ni Chama hicho? Kwamba...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Bumbuli January Makamba amesema baada ya jina lake kutopitishwa na Kamati kuu ya CCM alikutana na changamoto kubwa mbili tu Mosi, kuwaelewesha WATOTO wake ambao ni Gen Z...
24 Reactions
170 Replies
10K Views
Polepole haijui CCM inavyoandaa viongozi yeye alikuwa layer namba saba kwenye uongozi wa nchi yeye na akina Makamba na Akina Mpina nk Layer ya kwanza ya Nyerere ya pili ya Mwinyi ya tatu ya Mkapa...
0 Reactions
19 Replies
940 Views
Wakati akiingia madarakani, Rais wa awamu ya 6 alitambulisha kauli mbiu yake kuwa kazi iendelee bila kusema ni kazi ipi hiyo, je ni ile iliyofanywa na awamu ya 4 na kuja kusitishwa na awamu ya 5...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi...
1 Reactions
6 Replies
474 Views
TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapaza sauti kwa hasira na huzuni kubwa kulaani vikali kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na askari wa...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Tangu mtukufu mama aingie kwenye ulaji salama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi Iendelee imekuwa ikitumika. Je ni wangapi wanajua maana na mantiki yake? Kazi gani inayoendelea ambayo...
3 Reactions
3 Replies
452 Views
Kila nikiangalia hii picha na bubujikwa na machozi ya furaha hakika mpendwa wetu yupo mahari salama hapo wakoloni wanajua wanamkomoa Wakoloni walimuweka gerezani Nelson Mandela wakidhani...
9 Reactions
18 Replies
866 Views
Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya...
8 Reactions
174 Replies
11K Views
Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM. Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili...
5 Reactions
91 Replies
4K Views
Rais Samia akiwa katika ziara Mkoa wa Pwani ameshiriki uzinduzi rasmi wa safari za mizigo za reli ya SGR, Uzinduzi wa kituo cha kimataifa Logistic cha Kwala na uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala...
1 Reactions
9 Replies
998 Views
Mwanachama wa CCM anayelalamika kukatwa kwa jina lake au majina ya watu aliokuwa anawataka kugombea ni mtu mjinga wa kupuuzwa na asiyejielewa. Kama ulikubali kupitishwa kwa majina ya wagombea ni...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu. Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na...
0 Reactions
6 Replies
523 Views
Mwanaharakati huru na mwanachama wa CCM, Cyprian Musiba, amesema "Wajibu wa Kiongozi ni kutenda mema kwa Raia wake, kusikiliza na kutatua shida zao"
0 Reactions
2 Replies
315 Views
Back
Top Bottom