Wakuu salamu kwenu,napenda kujua ni lini uchaguzi wa madiwani waliofukuzwa na CHADEMA Arusha utarudiwa baada ya baadhi kuhamia vyama tofauti kuonyesha kuwa wamekubali kushidwa.Tume ya Taifa ya...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi nane za udiwani kwamba ziko wazi; tano zikiwa ni za kata, ambazo zinatakiwa kujazwa kupitia uchaguzi mdogo na tatu za viti maalum, zinazotakiwa...
Economy growth analysis of Tanganyika since 1961
Enzi za mwalimu kusoma na kupata ajira haikuwa shida kama ilivyo sasa, kwani wanafunzi walikuwa wanatafutwa huko jijini na waliwza kupatiwa fully...
Katika kongamano la kuadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Tanzania bara swala la walimu na elimu limegusiwa sana na wachokoza mada na wachangiaji waliowengi. Lakini jambo lililonishangaza ni tuhuma...
Kwa wanabodi wote! mwaka jana na pia mwaka huu nchi ilitingishwa na migomo ya walimu na madaktari. Mgomo wa madaktari athari zake ni on the spot kwani watu watakufa kwa kukosa matibabu. Mgomo wa...
Mon, Dec 10th, 2012
Tanzania |
By In2EastAfrica Reporter
Some people who contribute opinions to enrich the proposed new constitution are concerned that religious differences and Union...
Hakuna kama Dr. Wilbrod Peter Slaa kati ya Makatibu wa Vyama vyote vya Siasa hapa nchini. CHADEMA sasa haishikiki kutokana na uratibu wake makini. Dr. Slaa ni shule tosha. Ni mkali,ni mpole,ni...
Katika kile kinachodaiwa kwamba watumishi wa serikali wanaogopa kuichambua katiba kwa kuogopa kuwa wataonekana kuwa ni wafuasi wa CHADEMA. Hili limebainika hapa mjini Moshi katika kata mojawapo...
Ukipita huku mjini hata barabara ya Airport kuna mabango makubwa ya Hongera JK kwa kuchaguliwa M/kiti wa CCM. Mabango yamewekwa na Jerry Slaa lakini yana nembo ya manispaa ya Ilala. Swali ni je...
Katika uchaguzi wa Urais nchini Marekani,nimejifunza kitu kimoja.Ni siasa safi. Kila mgombea-Obama na Romney alijikita kwenye sera zake na nini hasa utawala wake utafanya atakaposhinda. Hata...
Mara nyingi ninajiuliza swali hili kuwa kwa nini CHADEMA chama ambacho tunaimani nacho kuwa mwaka 2015 kinaliongoza ili Taifa kimejikita sana mijini? Vijijini kuna wapiga kula tena wengi tu ambao...
Mimi nionavyo Chadema lazima itashinda urais 2015. Dr Slaa simwoni mtu wa kumsumbua urais. Ila kwa kuwa nafasi ya ubunge itakuwa na vita na migawanyiko, nawaona CCM wakipata wabunge wengi zaidi...
Tumeona tumeshuhudia yanayojiri kutokana na maazimio ya mkutano mkuu na nimegundua kuwa utekelezaji wake utakuwa ni kizungumkuti.Nasema hivi baada ya kuhudhuria moja ya mikutano ya hadhara ambayo...
Nionavyo mimi si sahihi hata kidogo kuviita vya ambavyo havijashika dola kwamba ni vya upinzani! Vina mpinga nani???
Lugha sahihi ingekuwa ni "Vyama vinavyosubiri kushika dola, VVKD", haijalishi...
Nimekaa na kuwaza mambo mbali mbali kuhusu Mstakabali wa Nchi Yetu Tanzania. Nimetumia Three Phases: Tanzania Ilikotoka, Tnanzania Iliko sasa hivi, na Tanzania Ijayo.
Nimetafakari na kuyakumbuka...
UFAFANUZI: Maelezo yaliyo katika maandishi ya rangi nyekundu ni yaYeriko Nyerere na maandishi ya rangi nyeusi ni mawazo yangu.
1.Lowassa na Jakaya Kikwete ndio Maadui wakuuwa ushindi wa CCM 2015...
Ndugu wadau wa JF, tutakuwa tunawaletea live kongamano hili kutoka Nkrumah hasa kwa wale ambao hawataweza kufuatilia live ITV, Capital TV na Radio 1.
Ratiba ya Kongamano la UDASA la Tarehe 9...
Na Pascal michael Buyaga
bunda
.
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kimemvaa mbunge wa jimbo la Bunda Bw. Stephen Wasira jimboni kwake na kuwataka wakazi wa jimbo hilo kubadili mtazamo...
Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi, Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ndugu Zitto Zuberi Kabwe ameanza ziara ya kikazi nchini Ujerumani ambapo atahudhuria na kuhutubia...