Hongera sana JK

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Ukipita huku mjini hata barabara ya Airport kuna mabango makubwa ya Hongera JK kwa kuchaguliwa M/kiti wa CCM. Mabango yamewekwa na Jerry Slaa lakini yana nembo ya manispaa ya Ilala. Swali ni je, fedha ni za Slaa au za Manispaa? Je, mabango yamelipiwa kodi? Kama kuna diwani wa upinzani Ilala tafadhali fuatilia hatuwezi kukubali fedha za walipa kodi zitumike kwa mambo binafsi.
 
Nimeyaona pia,hata kule mtaa wa lumumba limewekwa kama hilo,,nimejiuliza sana bila kupata majibu

huu utumwa tutaukomesha tuh
 
Waacheni waendelee na ulaji. Kwani si mmewachagua wenyewe? Mwambie mwenzio ili 2015 asifanye kosa tena. Hapo hakuna jinsi.
 
Back
Top Bottom