Katibu anaratibu taratibu

Katibu anaratibu taratibu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Hakuna kama Dr. Wilbrod Peter Slaa kati ya Makatibu wa Vyama vyote vya Siasa hapa nchini. CHADEMA sasa haishikiki kutokana na uratibu wake makini. Dr. Slaa ni shule tosha. Ni mkali,ni mpole,ni mwerevu,mwenye wivu wa maendeleo,mjenga hoja,msikivu,muwazi,msiri,msemaji,mpiganaji. Ana mapungufu na uimara wake. Ni binaadamu hasa. Natamani kuwa kama yeye maishani. Dr. Slaa ni wa mipango. Nh jembe
 
haya maneno natamani yatokee kinywani mwa NAPE .
mtoto wa nje wa nnauye.
 
Hakika hakuna kati ya Makatibu wote sababu ni yeye pekee anaye milki uraia wa nchi mbili CCM na CDM na ushahidi ni kadi ya chama makini anayoendelea kuwa nayo
 
Safi naona sasa mnaanza kujipanga kuzuia mashambulizi baada ya kushambulia muda mrefu bila majibu, safari hii mnapambana kutoka ndani.
 
Hana chochote ni betrayer kama walivyo wengine; kwa nini azidi kung'ang'ania kadi ya chama tawala kama hana mahaba nacho?
 
nakubaliana na wewe juu Dr Slaa
Eeeeeee Mungu wangu mpe uzima mtu huyu mpaka 2015 ili umma ushuhudie haya.
 
Back
Top Bottom