CHADEMA: Tusiegamie sana mijini na vijijini kuna wapiga kula


Alexism

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
2,715
Points
2,000
Alexism

Alexism

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
2,715 2,000
Mara nyingi ninajiuliza swali hili kuwa kwa nini CHADEMA chama ambacho tunaimani nacho kuwa mwaka 2015 kinaliongoza ili Taifa kimejikita sana mijini? Vijijini kuna wapiga kula tena wengi tu ambao wangependa kusikia sera na mipango ya chama ili waweze kukipa ridhaa ya kuingonza nchi yetu lakini mambo yamekuwa kinyume kwani harakati nyingi zinaishia mijini na sisi wapiga kula walioko vijijini wanabaki kwenye giza ambalo sisiemu wanaitumia kuwadanganya na kuwaibia hili waendelee kuingoza hii nchi.

Wito wangu kwa CHADEMA ni kwamba nafasi na mda hupo wakuwafikia wapiga kula wa vijijini kwa sababu Tanzania hii watu wengi wako vijijini kuliko mjini. Tujaribu hata kufika katani kwakuwatumia wasomi ambao wapo vijijini karibu na wananchi mfano hapa katani kwetu tupo magraduate watatu ambao tuko tayari kufanya kazi ya kukieneza chama na kazi hiyo tumeianza mapema bila hata kupata luzuku au malipo kutoka CHADEMA lakini kwakuwa tunapenda mabadilko na kukiamini CHADEMA.

CHADEMA NJOO VIJIJINI TUPATE WANACHAMA ,TUKAWAELIMISHE WANANCHI ILI UKOMBOZI WA NCHI HII UWEZE KUFANYIKA VIZURI. KARIBU BUKOBA VIJIJINI CHADEMA.
 
W

wauwau

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
705
Points
170
W

wauwau

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
705 170
Ngoja tuipige porojo katika JF NA KUPAMBANISHA WATU HUMU NDANI, wakti sisi si wapiga kura wengine tupo ulaya tunaimba kikasuku. waliopo hapa wakishazipata za michango ya wanachama na wapenzi maskini wanaenda kutanua na mabinti kwa kibao cha M4C down town na sie vilaza tunashangilia leo wamefunika. Wamefunika au wametufunika, kalaghabao
 

Forum statistics

Threads 1,283,862
Members 493,849
Posts 30,803,660
Top