Watumishi wa serikali wagwaya kutembea na katibu kwa kuhofia kuhisiwa wako CHADEMA - MOSHI MUNICIPAL


D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
504
Points
0
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
504 0
Katika kile kinachodaiwa kwamba watumishi wa serikali wanaogopa kuichambua katiba kwa kuogopa kuwa wataonekana kuwa ni wafuasi wa CHADEMA. Hili limebainika hapa mjini Moshi katika kata mojawapo hapa Manispaa sasa je watumishi hawana haki iyo? inawezekana wanachimbwa mkwara wasifanye hivyo au ni vipi na je maoni ya katiba mpya hawatajamani naomba kuwasilisha.
 
piper

piper

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Messages
3,257
Points
1,195
piper

piper

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2012
3,257 1,195
Wakatoe maoni yao hamna watakachofanyiwa uoga wao ndo hasara yao.
 
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
290
Points
0
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
290 0
Haya wanapewa nafasi wancheza ama ndo wanaoingia maofisin kwa vimemo?
 
M

Malova

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Messages
784
Points
225
M

Malova

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2011
784 225
Ni ugonjwa mkubwa sana, kuogopa kutoa ukweli panapotakiwa ukweli. Hao watumishi wanapata hasara wao na watumishi wengine wajao kutokana na kutotoa ukweli wao juu ya katiba waitakayo. Wanataka wasemewe na nani?
 
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,983
Points
2,000
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,983 2,000
TUCTA imewashawajenga hofu na kuwaangusha wafanyakazi! Yuko wapi Mgaya? alishapewa chake kimyaa? yale madai ya wafanyakazi yaliyotaka kuanzisha mgomo yametatuliwa lini??Sisi wafanyakazi wa serikali kama hatutang'amua haya tukajua mustakabali wetu kimaslahi tutabaki kulalamika na kudai virushwa mbuzi kwa wananchi! duniani kote wafanyakazi na vyama vya wafanyakazi vinaogopewa na serikali iweje leo wafanyakazi wa Tanzania ndio tunaogopa serikali??
 
S

Sometimes

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Messages
4,562
Points
1,500
S

Sometimes

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2010
4,562 1,500
Kuna njia nyingi za kutoa maoni ya katika Katiba Mpya. Wengine tumetumia mitandao!(Njia hii ni bora zaidi kama una mapendekezo mengi, kuliko mikutano ya hadhara)
 
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
504
Points
0
D

DR. PHONE

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
504 0
Inabidi wabadilike kwa kweli maana mwisho wa siku watajilaumu kwa kukosa kutimiza haki zao za msingi
 
M

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
2,588
Points
0
Age
35
M

Magesi

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
2,588 0
Uongozi wa cdm moshi manispaa umeshindwa kaz ya kuwatumikia wapigakura
 
K

kindokicha

Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
17
Points
0
K

kindokicha

Member
Joined Nov 29, 2011
17 0
Uoga ni adui mkubwa wa maendeleo yetu. Mtumishi wa umma anayeogopa kusema na kuwa na ujasiri wa kusimamia kilicho sahihi na haki ana kasoro kubwa ktk utendaji wake na hawezi kutetea maslahi ya umma. Wafanye tafakari, wajue haki zao waondoe uoga!:A S angry:
 
W

wauwau

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
705
Points
170
W

wauwau

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
705 170
Huyo mtoa thread ana uhakika upi na kutoka chanzo kipi. Vilaza bwana, yaani unakuja humu ki-cdm na hoja uchwara tukusikilze au unataka kusema kuwa yeyote aliyepo Moshi na wenyeji na wageni wote ni cdm!!!!!!!! Au nia yako unatoa taarifa kuwa Chagan Deelopment Menifesto (CDM) ni ya Moshi:target: Wachaga uchwara bwana. Na nani kasema lazima uende kwenye mikutano, wengi hatujaenda na tumetoa maoni kwa namna nyingine. Wewe umetoa au unasubiri Jaji akutafute ukishatoka uchagani uliko, Acheni udhaifu wa fikra na kudhani wote humu ndani mnafanana
 
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Messages
3,102
Points
1,225
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2010
3,102 1,225
sasa wanaogopa nini wakati hata JK mwenyewe atatoa January 2013?
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Katika kile kinachodaiwa kwamba watumishi wa serikali wanaogopa kuichambua katiba kwa kuogopa kuwa wataonekana kuwa ni wafuasi wa CHADEMA. Hili limebainika hapa mjini Moshi katika kata mojawapo hapa Manispaa sasa je watumishi hawana haki iyo? inawezekana wanachimbwa mkwara wasifanye hivyo au ni vipi na je maoni ya katiba mpya hawatajamani naomba kuwasilisha.
Hii inatoakana na NAPE NNAUYE na VOTEs SUPRESSION... Kaihusicha CHADEMA na WACHAGGA wote; Sasa Wachangga hata AMBAO walikuwa hawaijui CHADEMA wamebadnikwa ALAMA kama VILE HITLER alivyofanya

Sasa Wanaogopa KUJIHUSISHA na MASUALA ya KISIASA... WATU KAMA kina NAPE wasingetakiwa KUWA VIONGOZI NCHINI
 

Forum statistics

Threads 1,285,256
Members 494,502
Posts 30,855,589
Top