CCM wahojiwe wataacha lini kuiba sera?

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
0
Tukiangalia Picha hii, ambayo Nape hajaja kuitolea majibu, na ambayo hapa jamvini hukaa muda mfupi, basi CCM wanapaswa kuulizwa kwanini ili siku nyingine wakiitwa wezi wasikatae. Angalia picha ya attachment
 

Attachments

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,276
2,000
Ndugu Madoro.

Hawa watu hawawezi tena kubrain storm na kubuni sera za kumkomboa Mtanzania. Ni wabinafsi na wao na familia zao wameshiba. Inatakiwa sasa wakae pembeni.
 
Top Bottom