PEW Research Center: Global Religious Landscape

PEW Research Center: Global Religious Landscape

Excerpt from the report…

TANZANIA

Christians: 61.4%


Muslims: 35.2%

Folk (Traditional) Religions: 1.8%

Unaffiliated: 1.4%

Hindu: 0.1%

Buddhist: < 0.1%

Other Religions: < 0.1%

Jewish: < 0.1%


source: Global Religious Landscape Table - Percent of Population - Pew Forum on Religion & Public Life



Hii ni dalili kuwa Ukristo umekuwa katika miaka 10 iliyopita badala ya kushuka, japo ni ukuaji mdogo kuliko projections za awali za 5% growth kwa mwaka kipindi hicho ambapo uwingi ulikuwa slightly below 61% kama nakumbuka sawasa.

Muslims walikuwa levels karibu sawa na Roman Catholics nation-wide wakati huo, ambapo balance ilikuwa ina tip off unapoingiza group la Evangelical Christians, au tuseme protestants. Ukichanganya Protestants na RC Uislam unapungua percentage significantly.

Sijapata muda kuipitia report hii lakini nipo curious wanatoa sababu gani kana reason ya growth. Is it music? Is it Mikutano mingi? Is it TV? Ni kipi kinavuta watu kwa Yesu Kristo Hapa Tanzania hasa...
 
Eeeh eeeeh mkuu ondoa kabisa hii thread, utasababisha uchomaji wa makanisa
 
Back
Top Bottom