Wazungu tuliwaondoa 1961 kwa kuwa walikuwa wanachukua maliasili zetu,lakini leo ndio wanamiliki njia zote za uchumi madini wanamiliki wao.Wazungu walikuwa na matabaka katika kutoa elimu na Afya.Leo vigogo wanatibiwa nje na kusoma nje masikini wanasoma shule za kata na kukoswa panado.
Kipindi cha mkoloni kulikuwa na matabaka ya kutoa ajira leo CCM viongozi wa nchi hii uko kwa watoto wao tu hakuna haki, wanafungwa masikini kwa kuiba 5000/= lakini wezi wa mamilioni wako mitaani.
mfano. Marehemu Ditopile aliua lakini akapewa dhamana.
TUUNGANE WATANZANIA KUMUONDOA MKOLONI CCM mwaka 2015 katika uchaguzi mkuu.