Hii hatari walisubiri rufaa ya Lema ili kutopoteza kwenye matokeo mabaya ya darasa la saba.

Hakika! maana kesho vichwa vya habari magazetini kesho ni Lema( which is ok for me maana nimefurahi sana), ila ilo la mithiani nalo muhimu... huu ndio ujaja wa magambs. over 50 yrs watuendesha hivyo... kiujanjauja...inanitia simanzi!
 
Washajua Watanzania tunaendeshwa na matukio..si unaona kila kona kwa sasa inshu ni ushindi wa Lema..hata hivyo wanajidanganya..liishalo ni dogo kuliko lijalo..
 
Back
Top Bottom