Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kauli za Mwigulu, JK, Nape, Kinana ni lazima CDM ishinde chaguzi zote za udiwani, ubunge na Uraisi wa 2015 kwa knockout. Lazima tufanye kazi wote kuanzia sasa bila kulala. Wote lazima tuamini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete jana alitoa salamu zake za mwaka mpya kwa kuzungumzia mambo mbalimbali ya kitaifa, huku akibainisha kuwa Bunge la Katiba, litakaa Novemba mwaka huu kupitisha mapendekezo ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar Rais Jakaya Kikwete atazindua matokeo ya sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwezi August, 2012. Nimeona nifike mwenyewe pasipo kupenda baada ya...
8 Reactions
320 Replies
45K Views
Mwaka 2013 umefika. Mwishoni mwa mwaka 2012,vyama hivi viwili pinzani kuliko vyote hapa nchini Tanzania vilituahidi.Viliahidi kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbunge wa Nyamagana na Mkurugenzi wa mambo ya nje wa Chadema Ezekiah Wenje amesema kwamba chama chake hakina mgogoro wowote. Akihutubia umati wa watu katika mkutano mkubwa wa hadhara wa wafuasi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemshukia Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi maarufu Sugu kikimtaka asijisumbue kuchukua fomu ya kutetea nafasi hiyo mwaka 2015 kwasababu anachezea ubunge...
0 Reactions
108 Replies
8K Views
Jumanne, Januari 01, 2013 07:37 Na Benjamin Masese, Dar es Salaam *Yamuonya Spika Makinda CHAMA cha...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau: Jenerali tena -- afunga mwaka kwa makala hii murua. Ni rahisi kutambua ni akina nani anaowananga hapa, mtoto wangu wa miaka 10 aweza kujua! ________________________________ We ate and...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Ndugu yangu Nguruvi alikuwa anamjibu Ndugu Bongolander kwenye ile mada nyingine na maneno yake yamenigusa mno na ninaamini pamoja na juhudi za kisiasa na kihoja za kuwachochea Wazanzibar...
17 Reactions
81 Replies
7K Views
Wana JF, Baada ya kigugumizi kingi kinachopata CHADEMA kwa sasa, nidhahiri wengi wetu ambao tulikuwa tunadhani inaweza kututoa shimoni tumekata tamaa baada ya revelation mbalimbali...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Katika mkutano uliyofanyika Arusha maeneo ya kilombero, Nilimsikia Mh:Lema akihutubia aliongea mambo mengi sana yenye tija kwa maslahi ya wananchi wote bila kujali itikadi ya vyama,Wakati...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo katika kipindi cha taarifa ya habari Channel 10 saa moja usiku nilimuona Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar esalaam akiwahutubia wanaCCM wenzake kwa kusifia sekondari za kata. Alisema ni shule...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa Wawi (CUF) Hamad Rashid Mohammed, alisema Zanzibar itaingia katika machafuko makubwa endapo hakutafanyika jitihada za haraka kukomesha chuki za kidini zinapandikizwa miongoni mwa raia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakika katika kipindi cha kumekucha cha ITV leo wamenifungulia mwaka kwa kicheko sana sijui chama cha mafisadi kimemwokota wapi anasema vijana wamepewa nafasi asilimia 80! Hakika huyu bwama...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Ewee mpenda mabadiliko, Mwaka 2013 ungependa Chadema wafanyenini zaidi kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
1.Rais tuhutubie,ukweli utuambie,waongozwa sie,tunakuomba Mheshimiwa. 2. Ya Sensa yamepita,ya Ponda yanaita,UAMSHO wajikita,tunaomba hotuba. 3. Tunataka kusikia,wapi mmefikia,matatizo...
1 Reactions
5 Replies
932 Views
Itakumbukwa Chadema waliwafukuza madiwani wake watano waliokataa kutii maagizo kamati kuu ya kumtambua meya wa Arusha mwaka jana. Na hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa jiji madiwani walionekana...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Bandiko langu la kuanzia mwaka mpya litaanza na video hiyo hapo chini ambayo niliiweka jana kama kiburudisho cha kuaga mwaka. Hata hivyo baada ya kutazama video nikapata hisia ambazo zinahusu...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Kuongezeka kwa idadi ya watu kututishe,bali iwe chachu ya kupanga mipango inayopangika kwa mali tulizo nazo kwa manufaa ya wote
0 Reactions
0 Replies
911 Views
*Ni Sugu wa Mbeya Mjini, akimbia ukumbini *DC asema adhabu yake ni kumpuuza tu MKUTANO wa kutangaza matokeo ya darasa la saba Mkoa wa Mbeya, nusura yaingia doa, baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…