Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

katika mkakati wake wa kuhalalisha biashara ya pembe za ndovu, Tanzania wamerudi wamelowa baada ya Rwanda na Kenya kuichimba mkwara na kuachana na mpango wa kupeleka proposal, mwezi March 2013...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kabla Mkt wa CHADEMA Taifa, Bw Freeman Mbowe hajafika Karatu jana, kuna pande mbili za wanaCHADEMA zilizokuwa zikihasimiana kiasi cha kutaka kumalizana kisiasa, lakini maajabu yanayoonekana leo...
24 Reactions
74 Replies
6K Views
Swali dogo kwa wana Jf: Nani utampa kura yako ya Urais kati ya watu hawa.Dr.slaa(CHADEMA) Vs Lusinde(CCM) (Sifa yao ni moja walipishana vyama Lusinde alitoka CHADEMA kwenda CCM, Slaa alitoka CCM...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Leo tarehe 29/06/2012 asubuhi mishale ya saa moja na nusu asubuhi nilikuwa naangalia mapitio ya magazeti katika televisheni ya ATN ambapo kelvin moto alikuwa akisoma mapitio ya magazeti. Alianza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kamanda Mbowe amefunika Karatu! Pia ameanzisha mchango wa ujenzi ofisi za Karatu imechangishwa zaidi million 40. Chadema itaendelea kuwa tumaini la wanyonge, mbinu zozote za kuivuruga Chadema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni dhahiri kwamba maandamano ya juzi ya maelfu ya wananchi wa Mtwara kupinga kupelekwa gesi asilia kumeiumbua sana CCM. Katika hali hii CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini ambacho kilishiriki...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Serikali ya Tanzania imetupilia mbali ombi lake la kutaka ruhusa ya kuuza pembe za ndovu na bidhaa zake kwenye mkutano ujao wa ‘cites’ utakaoandaliwa mwezi machi, mjini bangok, thailand. Ombi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jJF na watz kwa ujumla, poleni kwa hali ngumu ya maisha iliyopo sasa. Naleta mada hii kwa kutaka kuwasaidia wale wenye uwezo wa kutafakari kwa kina wataweza kugundua kuwa hii migongano...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanachama wa Chama Cha Mipinduzi UDOM wakishirikiana na Wananchi wa Kata ya Ng'hong'ona kesho watafanya Mkutano katika viwanja vya CCM Ng'hong'ona. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu wa CCM UDOM...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna jamaa mmoja aligombea udiwani kata moja Mbeya mjini kupitia CHADEMA akashinda kwa kishindo japo alikuwa anapambana na mkongwe sana kwenye siasa. Chama Cha Majambazi wakamnunua ajiuzuru...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Nimependezwa na nguvu ya umma( Kama hawajashawishiwa na wanasiasa) ya watu wa Mtwara kudai Maendeleo yao yatakayotokana na Gesi asilia iliyogunduliwa. Ni mfano mzuri kwa mikoa mingine, na pia...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika Nchi hii na pengine hata nchi nyingine sijawahi kumwona au kumsikia kiongozi wa kisiasa anayetajwa mambo yake mengi hadharani kama Dr. Slaa. Wapinzani wake wana/wamemwongelea sana mambo...
3 Reactions
107 Replies
8K Views
Nimejaribu kuitafsiri Hukumu ya Mahakama ya Rufaa, iliomrejeshea Godbless Lema Ubunge, ili angalau watoaji wa maoni tuwe wengi, kuna sehemu nimekosa kiswahili fasaha, wengine wanaweza kuongeza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HABARI Na Geofrey Nyang’oro, Iringa Posted Ijumaa,Decemba28 2012 saa 24:44 AM KWA UFUPI “Leo Iringa gunia mmoja la Mahindi Sh80,000, wananchi wa kipato cha chini hawana uwezo wa kununua...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
WAKATI ujangili unaotishia kutoweka kwa baadhi ya wanyama katika hifadhi za taifa nchini ukiendelea kushika kasi, imebainika kuwa baadhi ya mahakimu, polisi na waendesha mashtaka ni wahusika wakuu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"Morsi awaonya raia Misri" Rais Mohammed Morsi wa Misri amesema zoezi la upigaji kura ya maoni kuhusu katiba mpya kwa raia wa taifa lake ulikuwa wa uwazi mkubwa chini ya usimamizi wa vyama vya...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) wa Wilaya ya Karatu, Daniel Awakie, amewataka vijana wilayani Karatu, kuungana na kuanzisha vikundi vya ujasiriamali na uchimbaji madini, ili iwe rahisi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chadema Mkoa wa Iringa Mchungaji Peter Msigwa ameponda mikakati iliyotangazwa na viongozi wa (CCM) wa Mkoa wa Iringa ya kutangaza dhamira ya kurejesha jimbo hilo mikononi mwa chama...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
SIKU moja baada ya Waziri wa Fedha na Uchumi, Wiliam Mgimwa, kuwataka wananchi wasiwe na wasiwasi licha ya deni la taifa kuzidi kuongezeka, Waziri Kivuli wa Fedha, Zitto Kabwe na Profesa Ibrahim...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF Polisi Zanzibar leo imewatia mbaroni Katibu wa Jumuiya ya uamsho Sheikh Abdallah Madawa na Sheikh Fikirini Majaliwa. Viongozi hao wamekamatwa maeneo ya Mwanakwerekwe walipokua...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Back
Top Bottom