Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

William Mungai ambaye ni Mtoto wa Mzee Joseph Mungai (pichani) aliyepata kuwa waziri wa wizara mbalimbali wa serikali ya awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyeyere hadi serikali ya awamu ya nne ya Jakaya...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
JUMATATU, DESEMBA 31, 2012 04:48 NA GUSTAPHU HAULE, KIBAHA NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba, amesema ni ndoto kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ile dhana ya kuwa na demokrasia ndani ya vyama vya siasa vya upinzani Nchini Tanzania inaendelea kuwa shakani, Mwenyekiti wa chama anatoa kauli ya kutangaza mgombea URAIS wa mwaka 2015, mgombea...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema haiwezi kulumbana na maaskofu kufuatia kauli zao kuwa Serikali haijachukua hatua za maana kudhibiti vikundi vya kihalifu ambavyo vinatumia jina la waumini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
I know this may be a sensitive issue to some if not many people in the country BUT I believe when it comes to national interests nothing should be off the table or above discussion. I recently...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Na Efracia Massawe MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuangalia upya utendaji kazi wa viongozi wake, badala ya kuwahadaa Watanzania kwa hoja zisizo na...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Inasemekana kuwa CCM ndo inakufa kama analogia inavyokufa wakati CHADEMA ni digital inakua kila kukicha. We wasemaje au unaionaje hilo wazo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi, kimevunja kambi iliyokuwa inategemewa na Chama Cha Mapinduzi ya Kijiji Cha Mkundi, kata ya Makata baada ya wanachama wote wa tawi hilo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete analihotubia Taifa kupitia TBC.
2 Reactions
93 Replies
7K Views
Ijumaa, Desemba 28, 2012 05:49 Na Eliya Mbonea, Arusha *Jopo la Majaji saba litapitia upya hukumu yake *Endapo wajibu Rufani watarudi mahakamani NI mapema mno kwa Mbunge wa Arusha Mjini...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake Hamini badala ya Phillip. Kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua...
2 Reactions
144 Replies
12K Views
POLISI WADAIWA KUGHUSHI NYARAKA OFISI YA MWANASHERIA (AG) Inadaiwa kuwa nyaraka hizo katika Ofisi ya AG, mkoani Mara, zilighushiwa na askari kanzu mmoja wa Kituo cha Mugumu, ambaye alikuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TANESCO muwe mnaangalia nawakati,tunasikiliza matukio mnakata kwani na ninyi mnahamia Ditigali mbona mnatuumiza. Hata Mwaka Mpya
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Wakuu habarini na kila la heri kuukaribisha mwaka 2013! Nimetafakari sana kitendo cha CCM katika Sekretarieti mpya kumteua Mwigulu Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara! Nimetazama kwa makini...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Magufuli, Mwakyembe wachimbana ‘mkwara' Mwandishi Wetu Toleo la 274 26 Dec 2012 Kila mmoja ajidai ‘kijogoo' wa madaraka UPANUZI wa uwanja wa ndege wa Mwanza umeziingiza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Leo ndani ya HotMix EATV kwa nyakati tofauti tunatarajia kuwa na Prof. Ibrahim Lipumba pamoja na mbunge wa Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile. Kikubwa zaidi tutazungumzia swala la gesi na uhalali...
1 Reactions
69 Replies
4K Views
CHAMA- cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi, kimevunja kambi iliyokuwa inategemewa na Chama Cha Mapinduzi ya Kijiji Cha Mkundi, kata- ya Makata baada ya wanachama wote wa tawi hilo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwenye mkutano wa leo uliofanyika Kahama uliohudhuriwa naumati mkubwa wa wananchi, Kamanda Lema aliwahamasisha wananchi kuwa ukombozi wanchi hii utatokana na wananchi wenyewe kujitolea kwa moyo...
11 Reactions
66 Replies
7K Views
Niliposikia huyu bwana kapewa wizara ya uchukuzi nilijua kuwa sasa kumekucha. Mimi hua siku zote namchukulia huyu muheshimiwa kama mtu wa kazi miongoni mwa watu wachache wa CCM. Nilijua anataka...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Sensa zimekuwa zikifanyika takriban kila baada ya miaka 10 tangu Tanganyika ipate uhuru mwaka wa 1961. Kwa bahati tangu nipate akili za kufuatilia mambo, nimeweza kuona sensa nyingi zilizofanyika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom