Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

Phillip Mulugo ajibu tuhuma za kuchakachua

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
2,376
Reaction score
1,519
Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake Hamini badala ya Phillip. Kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote, na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu. Kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.
 
Nawashauri OUT wai-revoke degree ya Mulugo "Amim"..........na apewe Certificate of attendance tu, mpaka atakapo-clear hili wingu...........la kuchakachua elimu yake huko nyuma......
 
Hivi inahitajika mtu kuwepo ofisini ili ajibu swali linalohusiana na identity yake? Only in Tanzania this can happen!
ili nishangaza sana kwani swali langu la jina lilikuwa na jawabu moja YES or NO, Swala la kufika kwanza ofisini ndio haweze kunijibu kwa kweli lilinishangaza kiasi fulani lakini let's give him the benefit of doubt.
 
amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote .

Mheshimiwa Amim kwa hiyo Statement yako hapo Kwenye Rangi Nyekundu wala hatuhitaji kwenda kuwasumbua jamaa wa OUT (Open University of Tanzania) kupata uhalisia wa elimu yako.
 
Nilibahatika kumpata naibu waziri wa Elimu kwenye simu na kumuuliza kuhusu swala la Elimu yake na kuhusu jina lake hamini badala ya Phillip. kuhusu swala la elimu yake amesema kuwa hajachakachua chochote na kama kuna yeyote ana shaka na elimu yake basi aende chuo kikuu cha open university atapata majibu yote na kuhusu swala la jina alisema kuwa kwa hivi sasa yuko njiani anasafiri kwahiyo asingeliweza kulijibu kwa maana hayuko ofisini mpaka atakapofika ofisini jumatatu kwahiyo jamani tukaeni mkao wa kula kusikia kutoka kwa mheshimiwa.
hayo maneno kwenye blue amesema yeye mwenyewe?nakumbuka aliwah kusemaMIMI NILIPOMALIZA FORM SIX SIKWENDA CHUO KIKUU DIRECT MOJA KWA MOJA
kwenye makutano show ya fina mango
 
Mheshimiwa Mulugo kwa hiyo Statement yako hapo Kwenye Rangi Nyekundu wala hatuhitaji kwenda kuwasumbua jamaa wa OUT (Open University of Tanzania) kupata uhalisia wa elimu yako.

nami hapo kwenye chuo kikuu cha open university nimejaribu kumuuliza mtoa mada je ni kauli ya mlugo ammim?
 
ili nishangaza sana kwani swali langu la jina lilikuwa na jawabu moja YES or NO, Swala la kufika kwanza ofisini ndio haweze kunijibu kwa kweli lilinishangaza kiasi fulani lakini let's give him the benefit of doubt.

sasa tusiokuwa na ofisi sijui mambo ya elim tutayazungumzia wap?
 
Mheshimiwa Mulugo kwa hiyo Statement yako hapo Kwenye Rangi Nyekundu wala hatuhitaji kwenda kuwasumbua jamaa wa OUT (Open University of Tanzania) kupata uhalisia wa elimu yako.

Huyu jamaa ni mchemfu mpaka anakera,CHUO KIKUU CHA OPEN UNIVERSITY! Huyo ndio Hamim Augustino a.k.a Philip Mulugo! Naibu waziri wa Elimu wa Tanzania huru!
 
Hivi inahitajika mtu kuwepo ofisini ili ajibu swali linalohusiana na identity yake? Only in Tanzania this can happen!

aaaaaaaahhhhaaaaa aaaaaaahhhhaaaaaa mwenzio jina lake halisi na la kuzugia yote yapo kwenye mafaili ya siri ofisini so anaweza kujichanganya lipi ni lipi!!!!au we unataka mwenzio aumbuke?yaani mtu unaulizwa jina lako nani unajibu ngoja nitakujibu nikiwa sehemu flani?ur real name,halisi kabisa tangu utotoni inakuchukua wiki kulitaja?mkuuu we hapo za kuambiwa jumlisha na zako.....
 
Wakuu mbona mnafikira sana kuhusu Mulugo? Jibu ni kwamba alipewa uwaziri kama fadhila baada ya mkuuwa kaya kupata kura nyingi kule ndipo bwana Rizi moko akamwambia mshua amchekie space period! Sasa kuhusu vigezo na elimu hawezi kuwa navyo kwani alipewa fadhila ndio maana kuna slip of tongue hapo. Kuverify jina tu hadi awepo ofisini je wasio na ofisi watafanyaje?
 
Hivi inahitajika mtu kuwepo ofisini ili ajibu swali linalohusiana na identity yake? Only in Tanzania this can happen!

Mtoboasiri mazungumzo yalikuwa hivi...

Swali: Hallo naongea na Mtoboasiri?
Jibu: Ndio
Swali: Tuambie elimu yako
Jibu: Nimesoma OUT na ukienda utakuta taarifa zangu, sijachakachua kaka
Swali: Vipi kuhusu jina tunasikia Mtoboasiri sio jina lako halisi weye waitwa Ammi
Jibu: Aam unajua siko ofisini halafu nipo safarini kurudi Dar, nitafute jumatatu nikiwa ofisini nitakujibu.

Wallah usipoipenda hii nchi kwa vivutio vyake basi utaipenda kwa wasanii wake....full package
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom