Kuna habari kwamba yule askari aliyepiga picha na Godbless Lema ametoroka Jeshini na anasakwa kwa udi na uvumba.
Can someone come out na aniambie kama yule kijana alikua amepiga pivha na Mbunge...
SIASA
Na Christopher Lilai, Liwale
Posted Jumatatu,Decemba31 2012 saa 10:43 AM
KWA UFUPI
Hayo yalitokea kwenye sherehe ya kumpongeza mgombea wa CUF, Jafari Nyimage aliyeshinda udiwani...
Kauli ya Zitto aliyotoa na kuelekezwa kwa Ben Saanane kuwa:
Natoka Kigoma, nimeaga kwetu! Kifo changu kikitokana na mkono wa Mtu, huyo hata panya hatabaki nyumbani kwao"
Haiwezi kupita hivihivi...
Amani iwe nanyi wanajamvi!
Nimelazimika kuja na hoja yenye lengo la kuwasaidia wale wote wanaoona wanachama wa CHADEMA wakiwa kimya licha ya kusikia na kushuhudia maneno, vurugu, rafu na...
Yakiwa Yamebaki Masaa Macheche Kuingia Mwaka Mpya Wenye Matumaini Mapya 2013 Basi Sina Budi Kutumia Nafasi Hii Kuwapongeza Wale Wote Waliochambua Hoja Za Wanamkataba Za Kina Jussa Maalimu Na...
Baada ya mkutano mkuu wa CCM,wakaagizwa na mwenyekiti wao kuwa pamoja na mambo mengine kuwa mawaziri waweke utaratibu wa kuwaambia wananchi yale 'mazuri' waliyo fanya. Hapa nikakumbuka usemei...
ngugu zangu,
..ujanja-ujanja ninaouzungumzia ni kuhusu sera ya CUF kuhusu suala zima la muungano.
..kwa kweli inatia aibu jinsi Lipumba na Mtatiro wanavyojichanga kila wanapoulizwa kuhusu suala...
Hivi viongozi bora duniani wote ni watu wenye IQ za kiwango cha juu?Hapa baba wa taifa bila shaka ni mfano mzuri.Sasa swali ni kwanini IQ test isiwe kigezo cha ziada cha kupata kiongozi(an added...
WanaJF, mimi ni mmoja ya watu walioudhiwa sana na mahakama ya rufaa pale ilipopiga chini hoja ya mgombea binafsi. Nimefanya utafiti wangu kwa muda sasa na nimegundua kuwa, katika watu wote waliopo...
Habari wakuu
Nimeona this news michuzi, nimeona nije nishare na nyie, kumbe wenzetu uko nyumbani mambo yanchangamka taratibu, safi sanaaaaaaa
MICHUZI: ANDROID WAJA NA APPLICATION YA KUPERUZI...
Hakuna siri sasa kwamba Chama Tawala kinahaha kufanikisha mkakati wake wa kukisambaratisha CHADEMA kwa kila mbinu. Mkakati wake sasa unaongozwa na jemedari Kinana akisaidiwa na mainjiania wawili...
Huyu Jamaa anawahadaa wapiga kura wake, Kwakweli jamaa huyu ana tetea Richmond, Epa, Kagoda,
Na anatetea kupandishwa kwa Mafuta Ya taa! Wana nchi wa SINGIDA mkataeni 1015
huyo Mwigulu Nchemba,
JUMATATU, DESEMBA 31, 2012 04:52 BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM
*Asema wananchi wa Mtwara walistahili kuandamana
*Ahoji kwa nini gesi isafirishwe bila wananchi kushirikishwa
*Ahofia machafuko...
GOYA LA MZALENDO: ‘TUZIACHE SERIKALI NA KANISA ZITUHUJUMU'
Written by Stonetown (Kiongozi) // 30/12/2012 // Makala/Tahariri // No comments
Wazungu wana msemo wao usemao...
Wanajamvi heshima kwenu, najitokeza kilingeni kuwaomba tujadili kuhusuwanataaluma pamoja na taasisi tajwa juu.
Prof. Mukandala ametajwa sehemu nyingi kama brain behind MPANGOWA UTAFITI NA ELIMU...
Zimepita siku , wiki , miezi na sasa mwaka unakatika , kama kawaida kwenye siasa za Tanzania hapakosekani waliopata matatizo ,na hasa wale wasiounga mkono ccm , hii ni pamoja na mateso , vitisho...
Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya waheshimiwa wabunge labda kutokana na ugeni wao, mwaka 2011 na 2012 wameshindwa kabisa kutekeleza majukumu yao hivyo wamepwaya sana kufanya kazi za ubunge...
Wanabodi
Nipo kwenye kikao cha baraza la madiwani Arusha,ambapo taarifa za uhakika kutoka kwa madiwani wa ccm zinasema kuwa Mstahiki Meya amekaimisha nafasi hiyo kwa Diwani Karimu ili madiwani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.