Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,932
Sensa zimekuwa zikifanyika takriban kila baada ya miaka 10 tangu Tanganyika ipate uhuru mwaka wa 1961. Kwa bahati tangu nipate akili za kufuatilia mambo, nimeweza kuona sensa nyingi zilizofanyika ukijumlisha na hii iliyopita. Ninachokiona tofauti na zingine ni kuwa sensa hii ya 2012 imefanyiwa sherehe maalum zikiongozwa na Rais wa nchi.
Napenda kuuliza kwa anayefahamu, ni umuhimu upi ambao sensa hii inayo kuliko sensa zilizopita, ambazo matokeo yake tuliyasikia kupitia kwa vyombo vilivyohusika na vyombo vya habari?
Napenda kuuliza kwa anayefahamu, ni umuhimu upi ambao sensa hii inayo kuliko sensa zilizopita, ambazo matokeo yake tuliyasikia kupitia kwa vyombo vilivyohusika na vyombo vya habari?