Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba niseme wazi kuwa mimi ni mkristo, ila nimesikia kuwa mpaka sasa mikoa iliyomingi imekubali mahakama ya kadhi kuingizwa kwenye katiba mpya kasoro Mbeya na Arusha, sasa naomba tujadili kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania tuliwaamini kwa kauli mbiu ya nguvu zaidi, kasi zaidi na ari zaidi lakini sasa tunayoshuhudia ni tofauti na mbaya zaidi ni ukiukwaji wa haki, ufisadi na rushwa kushika kasi zaidi lakini...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa mtu aliyetembelea na kuishi mikoa ya kusini atakubaliana nami kuwa maisha ya mikoa ya Mtwara na Lindi ni karibu na "jehanamu."Nasema hivyo ni kiwa na maana ya kwamba Wananchi karibia 90%...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ningependa wana JF tujadili suala hili,la wanasiasa wapohama chama kimoja kwenda chama kingine kwanini wanapenda kusema mabaya tu ya chama alichotoka,kana kwamba hakuna mema aliyokutana nayo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa nini tushindwe kama tutaamua na kama tutakuwa wamoja na kuweka fikra zetu katika ujenzi wa Taifa hili?, watu wetu ni lazima wawe wazalendo,majasiri, ni lazima tulilete Taifa pamoja, ni...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Kwa siku 3 mfululizo nilihudhuria utoaji wa maoni wa katiba mpya huko Zanzibar,i. wachangiaji wengi wakitumia sec 30 kwa kutamka maeneno machache Nilichogundua waznz wengi hawataki kabisa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA mkoani Mbeya bw. Eddo Makata ambaye alitoa tamko la kuaandaa maandamo ya BAVICHA nchi nzima ili kumshinikiza Dr. Slaa ajiuzulu kutokana na umiliki wa kadi ya 2 ambayo...
5 Reactions
127 Replies
8K Views
mh naibu wazir wa nishat na madini anaongea live statv kuhusiana na suala la ges mtwara pamoja na wachambuz wengine, anaxema ges inaletwa daslam il kuendesha uchumi wa nchi, only 14pecent to dsm...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wanajamvi na natumaini mwaka umeanza vyema. Nimekuwa nasoma makala za wanajamvi humu JF kusema kweli nafarijika kuwa wengi tunachukia jinsi Nchi yetu inavyoyumbishwa na walioko madarakani...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
UJUMBE wa maandishi unaodaiwa kusambazwa na chama cha Walimu Tanzania (CWT), kupitia simu za kiganjani kwa walimu wa shule za msingi na sekondari nchini, umewachefua viongozi wa Serikali na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
deleted
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Taarifa zilizopatikana hivi sasa ni kuwa kuna ajali ya boti imetokea kigoma. Source tbc1 ------ UPDATE Kutoka AFP:- A ferry sank in Lake Tanganyika overnight, leaving eight dead and around...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Leo tunaendelea na mjadala wetu kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa muktadha wa kutazama muundo wa Umoja wa Ulaya (EU). Kama tunavyofahamu kuwa Umoja wa Ulaya si Muungano wa Kikatiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa kuna mkutano agenda kuu ni kuhus kusafirisha gesi kwenda dar es salaam hapa wanasema kikwete amechokoza moto hawata rudi nyuma. wanasema gesi haitoki liwalo na liwe. nawasilisha. na zaidi...
2 Reactions
82 Replies
9K Views
Ndg Wana JamiiForums, Hatimaye Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) wamejitosa katika ulingo wa mchakato wa kuunda Katiba. Kama taasisi, tayari wametoa maoni yao kwenye Tume ya Katiba...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwangu mimi, hizi hapa: 'Those who receive privelege have the duty to repay the sucrifice which others have made, they are like the man who has been given all the food available in a starving...
2 Reactions
173 Replies
14K Views
  • Closed
Maandamano halali, makubwa na ya kihistoria yanatarajia kufanyika Alhamis hii tarehe 27.Disemba.2012 kupinga GESI isiondoke Mtwara ikiwa GHAFI. Maandamano yataanzia maeneo ya Mtawanya saa tatu...
9 Reactions
169 Replies
16K Views
Hebu jaribu kutafakari hizi habari mbili tofauti kisha utoe maoni yako Habari ya kwanza Farmers complain of rice glut Send to a friend The Citizen Monday, 26 July 2010 11:01 By Enos...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Taarifa ya Wizara: Ufafanuzi wa Miradi ya Utafutaji na Uvunaji wa Gesi Asilia 03/01/20133 Comments TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUFAFANUA KUHUSU MIRADI YA UTAFUTAJI NA UVUNAJI WA GESI ASILIA...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Jana mnamo saa kumi na mbili njioni rais Kikwete aliwasili Ikulu ya Singida kwa ajili ya maandalizi ya kuhudhuria kuingizwa kazini askofu wa KKKT.Hilo kubwa ambalo nimeambiwa,ila kilicho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom