Nilivyoshuhudia maoni ya katiba mpya Zanzibar. Prof Baregu achanganyikiwa

Malaria Sugu

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Messages
2,653
Points
0
Malaria Sugu

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2009
2,653 0
Kwa siku 3 mfululizo nilihudhuria utoaji wa maoni wa katiba mpya huko Zanzibar,i. wachangiaji wengi wakitumia sec 30 kwa kutamka maeneno machache
Nilichogundua waznz wengi hawataki kabisa Muungano. naweza kunukuu kidogo kwa faida ya wote
"Tunataka serekali ya Zanzibar inayotumbulika kitaifa na kimataifa"
tunataka serekai yao ya tanganyika watayoamua wenyewe wanayoitaka"
"Tunataka serekali ndogo ya Mkataba"

Kwa jinsi nilivyowaona wajumbe ambao walikuwa ni Mh Baregu, Bi fatma said na DK Salim Ahmed Salim wanacheka na wananongonezana.
Huku Prof Baregu akishangaa na wakati mwengine akiwauliza watoa maoni. "HIyo serekali ya tanganyika itatoka wapi"

PIA swala la mahakama ya kadhi kuingizwa katika katiba
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,374
Points
1,250
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,374 1,250
kucheka huko si kuzarau maoni ya wananchi?? kuna ajabu gani mtu kutaka serikali ya mbili huku kila nchi ikiwa na mamlaka kamili na huku mkiweka mkataba ktk mambo mtakayokubaliana kushirikiana ?? kitendo chao cha kucheka wakati wananchi wanatoa mawazo ni cha dharau na inabidi wakiache mara moja na kuheshimu mawazo ya wananchi hata kama wanaisi haya make sense kwani ndiyo mawazo yao. kuuliza serikali ya tanganyika itatoka wapi huo ni umbumbu wa baregu kwani serikali ya Tanganyika ni serikali ya muungano iichokifanya ni kujigeuza jina na kujiita Tanzania huku ikiongeza eneo la utawala ikiwemo Zanzibar.
 
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
7,053
Points
1,225
MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
7,053 1,225
Mahakama ya Kadhi haitaingizwa kwenye katiba mpya. Nchi yetu itaendelea kuwa secular state. Rejea kauli ya JK kwenye baraza la Eid Dodoma.
 
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,542
Points
1,225
E

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Joined Dec 7, 2007
4,542 1,225
kucheka huko si kuzarau maoni ya wananchi?? kuna ajabu gani mtu kutaka serikali ya mbili huku kila nchi ikiwa na mamlaka kamili na huku mkiweka mkataba ktk mambo mtakayokubaliana kushirikiana ?? kitendo chao cha kucheka wakati wananchi wanatoa mawazo ni cha dharau na inabidi wakiache mara moja na kuheshimu mawazo ya wananchi hata kama wanaisi haya make sense kwani ndiyo mawazo yao. kuuliza serikali ya tanganyika itatoka wapi huo ni umbumbu wa baregu kwani serikali ya Tanganyika ni serikali ya muungano iichokifanya ni kujigeuza jina na kujiita Tanzania huku ikiongeza eneo la utawala ikiwemo Zanzibar.
Wao wanataka sisi hatujishughulishi, kuna ajabu kubwa sana kwa mtu asiyetaka lakini bado analeta conditions......asiyetaka anaweza enda tu
 
S

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
3,611
Points
2,000
S

SG8

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
3,611 2,000
Wadanganyika tumelala usingizini, hatutakia kuwa na Tanganyika yetu!!! Ajabu sana
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,881
Points
1,225
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,881 1,225
Naona Profesa alikuwa Profesa kweli, wengine waliokuwa wanamshangaa huenda walikuwa na matatizo, Profesa mwingine Salim Ahmed Salim bila shaka angesema hivyo
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
kucheka huko si kuzarau maoni ya wananchi?? kuna ajabu gani mtu kutaka serikali ya mbili huku kila nchi ikiwa na mamlaka kamili na huku mkiweka mkataba ktk mambo mtakayokubaliana kushirikiana ?? kitendo chao cha kucheka wakati wananchi wanatoa mawazo ni cha dharau na inabidi wakiache mara moja na kuheshimu mawazo ya wananchi hata kama wanaisi haya make sense kwani ndiyo mawazo yao. kuuliza serikali ya tanganyika itatoka wapi huo ni umbumbu wa baregu kwani serikali ya Tanganyika ni serikali ya muungano iichokifanya ni kujigeuza jina na kujiita Tanzania huku ikiongeza eneo la utawala ikiwemo Zanzibar.
nani aliekuambia kicheko kinaashiria jambo moja tu!
 
N

ngwendu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Messages
1,965
Points
0
N

ngwendu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2010
1,965 0
tunataka tanganyika yetu. full stop waache longlongo hapa.
 
N

ngwendu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Messages
1,965
Points
0
N

ngwendu

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2010
1,965 0
zanzibar must go, au serikali ya mkataba
 
Masaningala

Masaningala

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
543
Points
225
Masaningala

Masaningala

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
543 225
Tunataka katiba ya Tanganyika, Katiba ya Zanzibar halafu mwisho Katiba ya Muungano. Hii itaondoa hasira ambazo mwisho wa hasira hizo ni hasara.
 
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
4,639
Points
2,000
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
4,639 2,000
Profesa mzima anashangaa tanganyika itatoka wap? Alaaaa! Kwani tanganyika iliyokea wap mpaka ishindwe kuwepo saivi? Twataka nchi yetu vyovyote itakavokua, ilimradi iwe inatambulika kimataifa na tuendeshe mambo yetu wenyewe!!!!!! Tunajivunia UZANZIBARI, mnaokataa tanganyika mshazoea kuwa watumwa!
 
J

JACK/25

New Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1
Points
0
J

JACK/25

New Member
Joined Oct 10, 2012
1 0
Kuwa na serikali 3 is beta so as kuendeleza u1(muungano). But hiyo n 1 kat ya vi2 vingi vya kuchangia. Nizungumzie madaraka rais, kwenye kipengele cha kuteua wakuu wa mikoa T.bara na Z.bar. Bara atashauliana na waziri mkuu na Z.bar atashauriana na rais wa kule. Kwann Zenj rais acchague wake kwa kushauriana na waziri kiongozi? Na je kuna umhim wa wakuu wa mikoa kuwepo?
 
Mtotowamama

Mtotowamama

Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
61
Points
95
Mtotowamama

Mtotowamama

Member
Joined Oct 25, 2012
61 95
Profesa mzima anashangaa tanganyika itatoka wap? Alaaaa! Kwani tanganyika iliyokea wap mpaka ishindwe kuwepo saivi? Twataka nchi yetu vyovyote itakavokua, ilimradi iwe inatambulika kimataifa na tuendeshe mambo yetu wenyewe!!!!!! Tunajivunia UZANZIBARI, mnaokataa tanganyika mshazoea kuwa watumwa!
Kwanza ututake radhi watanganyika wote kati ya watanganyika na wazanzibar, nani watumwa hapa. Nyie si mnatumiwa na OIC na mnadai Zanzibar yenu ili muwe watumwa kamili? Ondokeni tu bwana tumechoka kuwabeba msiobebeka.
 
G

gaeboy

Member
Joined
Nov 21, 2011
Messages
6
Points
0
G

gaeboy

Member
Joined Nov 21, 2011
6 0
Kwanza ututake radhi watanganyika wote kati ya watanganyika na wazanzibar, nani watumwa hapa. Nyie si mnatumiwa na OIC na mnadai Zanzibar yenu ili muwe watumwa kamili? Ondokeni tu bwana tumechoka kuwabeba msiobebeka.
Bora Mbwa Mweupe kuliko Mbwa Mweusi
 
J

Jacoo'13

New Member
Joined
Jan 6, 2013
Messages
3
Points
0
J

Jacoo'13

New Member
Joined Jan 6, 2013
3 0
Hata Mimi Nadhani Ni Muda Muafaka Wa Kuwa Na Serikali 3 Ili Kila Mtu Ajiridhishe Na Utaifa Wake Tukiendelea Kulazimisha Mambo Hakika Hatutafika Mbali
Shime Maoni Ya Wengi Yazingatiwe Na Msingi Wa Katiba Hii Uwe Ndani Ya Matakwa Ya Wananchi Onyo Udini Usiwepo Ktk Katiba Utatumaliza Na Hiyo Mahakama Ya Kadhi Isiingilie Uhuru Wa Mkristo Wala Mpagani Watu Wote Ni Sawa Hakuna Unayepaswa Kusikilizwa Zaidi Ya Mwingine
Mbona Wakristo Hawahitaji Amri 10 Ziwepo Ktk Katiba Ni Wazi Wenzetu Hutuchukulia Ss Kama Maadui Lakini Wamesahau Ukristo Ndio Ulioleta Maendeleo Ya Kielimu Kwa Waafrika Na Mara Zote Mahali Ukristo Ulipo Amani Nayo Ipo Sababu Unafundisha Watu Kupendana Bila Kujali Udini Ukabila Maana Biblia Inasema Mpende Jirani Yako Kama Unavyojipenda
Lakini Wenzetu Wao Ni Chuki Hasira Vurugu Ubaguzi Sidhani Kama Kuna Mungu Anayependa Hayo Yote Asanteni
 
Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,938
Top