Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) Wajitosa Kwa Kishindo Mchakato wa Kuunda Katiba Mpya Tanzania

nivoj.sued

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
219
250
Ndg Wana JamiiForums,

Hatimaye Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) wamejitosa katika ulingo wa mchakato wa kuunda Katiba. Kama taasisi, tayari wametoa maoni yao kwenye Tume ya Katiba. Nilipopita mtaa wa Ohio ziliko ofisi hizo, nilipata bahati ya kuutazama waraka huo. Kimsingi waraka unazo sehemu nne: Utangulizi, Mapendekezo Ya Jumla Kuhusu Misingi Mikuu Ya Kitaifa, Mapendekezo Mahsusi, na Hitimisho. Sehemu muhimu kwangu ni ile inayohusu Mapendekezo Mahsusi. Hapa wana-CPT wanaongelea mambo yafuatayo: [/COLOR][/SIZE][/FONT]


 • Vigezo na misingi ya kikatiba na kisheria
 • Nafasi ya watu katika kusukuma Serikali
 • wajibikaji na uzingatiaji wa maadili mema kikatiba na kisheria
 • Tume Huru ya Elimu:
 • Tume Huru ya Maadili na Udhibiti wa Ufisadi
 • Udhibiti na uwazi katika mapato na matumizi ya mali ya taifa
 • Mgawanyo wa Mali na Rasilimali za Nchi
 • Rushwa na Ufisadi
 • Umuhimu wa mfumo unaotuwezesha kuwajibishana
 • Rais na Dola Kikatiba na Kisheria
 • Bunge Kikatiba na Kisheria
 • Tume Huru zinazopendekezwa
 • Ofisi za Serikali Zinazojitegemea
 • Kuwezesha Mamlaka ya Wananchi Katika Kuwajibisha Uongozi mikoani
 • Muundo wa Mamlaka ya Kuwajibisha Uongozi kwa njia ya Uchaguzi
 • Utendaji wa Wakuu wa Mikoa
 • Utendaji wa Polisi na Mahakama
 • Umuhimu wa Baraza la Wazee
 • Huduma za Kijamii Kudaiwa Mahakamani
 • Ardhi
 • Mazingira
 • Vyama vya Siasa
 • Uweledi katika Uwakilishi wa Wananchi
 • Kuhoji Matokeo ya Uchaguzi wa Rais
 • Muundo wa Muungano
 • Nafasi ya neno “Mungu” katika Katiba.
 • Dhana ya Serikali Kutokuwa na Dini Teule
 • Utaratibu wa Kubadili Katiba

Ukitaka kujua wamesema nini, hebu pakua waraka mzima ujisomee mwenyewe.

Mjadala uendelee…
 

nivoj.sued

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
219
250
Ndg Wana JamiiForums,

Hatimaye Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) wamejitosa katika ulingo wa mchakato wa kuunda Katiba. Kama taasisi, tayari wametoa maoni yao kwenye Tume ya Katiba. Nilipopita mtaa wa Ohio ziliko ofisi hizo, nilipata bahati ya kuutazama waraka huo. Kimsingi waraka unazo sehemu nne: Utangulizi, Mapendekezo Ya Jumla Kuhusu Misingi Mikuu Ya Kitaifa, Mapendekezo Mahsusi, na Hitimisho. Sehemu muhimu kwangu ni ile inayohusu Mapendekezo Mahsusi. Hapa wana-CPT wanaongelea mambo yafuatayo: • Vigezo na misingi ya kikatiba na kisheria
 • Nafasi ya watu katika kusukuma Serikali
 • wajibikaji na uzingatiaji wa maadili mema kikatiba na kisheria
 • Tume Huru ya Elimu:
 • Tume Huru ya Maadili na Udhibiti wa Ufisadi
 • Udhibiti na uwazi katika mapato na matumizi ya mali ya taifa
 • Mgawanyo wa Mali na Rasilimali za Nchi
 • Rushwa na Ufisadi
 • Umuhimu wa mfumo unaotuwezesha kuwajibishana
 • Rais na Dola Kikatiba na Kisheria
 • Bunge Kikatiba na Kisheria
 • Tume Huru zinazopendekezwa
 • Ofisi za Serikali Zinazojitegemea
 • Kuwezesha Mamlaka ya Wananchi Katika Kuwajibisha Uongozi mikoani
 • Muundo wa Mamlaka ya Kuwajibisha Uongozi kwa njia ya Uchaguzi
 • Utendaji wa Wakuu wa Mikoa
 • Utendaji wa Polisi na Mahakama
 • Umuhimu wa Baraza la Wazee
 • Huduma za Kijamii Kudaiwa Mahakamani
 • Ardhi
 • Mazingira
 • Vyama vya Siasa
 • Uweledi katika Uwakilishi wa Wananchi
 • Kuhoji Matokeo ya Uchaguzi wa Rais
 • Muundo wa Muungano
 • Nafasi ya neno “Mungu” katika Katiba.
 • Dhana ya Serikali Kutokuwa na Dini Teule
 • Utaratibu wa Kubadili Katiba

Ukitaka kujua wamesema nini, hebu pakua waraka mzima ujisomee mwenyewe.

Mjadala uendelee…

 

Attachments

 • WARAKA WA CPT KUHUSU KUUNDWA KWA KATIBA MPYA TANZANIA--MAPENDEKEZO YA TAASISI.docx
  180.2 KB · Views: 375

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
2,000
3.15.2 Kwa hiyo, maoni ya CPT ni kwamba kilicho bora na stahiki ni kuwa na Muungano wa Serikali moja


Wakristu BANA!
 

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,021
2,000
Katiba mpya izuie kwa NGUVU ZOTE mahakama ya kadhi kwani haina faida yeyote kwa taifa letu lenye dini nyingi zaidi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom