CHADEMA imeanza mwaka 2013 pasipo mashiko wala dira ya waendako. Hali hii ni faida kwa watanzania kwa vile imetupa fursa ya kupata kutambua uwezo wa viongozi wa CHADEMA kuhusiana na maendeleo ya...
Jimbo jingine wazi 2015: Mkulo arudia kutangaza kuwa atastaafu Ubunge05/01/2013
Mustafa Mkulo
Mbunge wa Kilosa (CCM), Mustafa Mkulo ameeleza sababu zilizomfanya kutangaza kustaafu ubunge...
Vibali vya kupasua mbao katika wilaya moja ya mkoa wa Tanga vimesimamishwa kwa muda sasa katika hatua ya kuzuia uvunaji wa maliasili isivyo hbatanisha picha mtandao ukiwa mzuri ila inasikitisha...
Nimecheki ITV mida hii naona watu wa migodini wanazidi kuacha kazi ili wachuke fao lao la kujitoa kabla ya sheria kupelekwa Bungeni
Kuna kila dalili marekebisho yata wahusu wa Fanya kazi wengine...
JUMAPILI, JANUARI 06, 2013 08:39 GABRIEL MUSHI NA ARODIA PETER, DAR ES SALAAM
DENI la taifa ambalo limeripotiwa kukua kwa kasi na kufikia Sh trilioni 22, sasa limewatisha wasomi nchini. Wasomi...
Kwenu wanabodi,
Ninapata mashaka makubwa juu ya utaratibu wa tume wa kukusanya maoni.
Awamu ya kwanza inaonesha watanzania laki tatu tu wametoa maoni. Hii inatokana na utaratibu mbovu wa tume wa...
Kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, kweli nawasifu wanamtandao wa CCM kwa kutizama mbali mwaka ule kwa kumpiga majungu huyu mpemba/ muunguja mwenye honorary PHD.
Manaake Siasa hizi za uzanzibari...
na Mwandishi wetu
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ametoa ufafanuzi kuhusu hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa usiku wa mwaka mpya na kuzungumzia...
Ndugu wana jamvi,
Ni matumaini yangu kuwa wengi mmeisikiliza au kuisoma hotuma ya Mheshimiwa Rais ya kuuaga mwaka 2013
Mie kama mtanzania ninayeishi nje ya nchi nilifarijika sana kusikia kuwa...
Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa jimbo la Buyungu linaloongozwa na waziri wa kilimo, chakula na ushirika wamekata tamaa na mbunge wao Mh. Chiza kutokana na Mh huyo kuwa na mipango ya...
Ujumbe huu nimeukuta kwenye ukuta wa kitabu uso (Facebook) ya Mh. Hamisi Kigwangalla:
Rais @jmkikwete anasema ukishakubalika na wamarekani basi wote wanakukubali, 'mi nilienda kuonana na Bush...
Wamajamvi Heshima kwenu.
Nina swali dogo tu au pengine linaweza likawa kubwa kulingana na wachangiaji watakavyo jitokeza kuchangia.
Na huenda si mimi peke yangu ninaetaka kufahamu nini...
HOJA YA HAJA YA MBUNGE WA KILWA KASKAZINI KUHUSU GESI ASILIA
Sekta ya gesi na mafuta ni moja kati ya sekta kubwa na ngeni kwa kiasi fulani hapa nchini.
Kwa kipindi cha miaka mingi na...
Hapa Lumumba,ofisi ndogo za CCM Dar, sasa ni vikao mfululizo. Kamati mbalimbali zinaundwa na kupewa majukumu mbalimbali lakini yenye lengo moja:kuiadhibu Mtwara. Kwanini waandamane kupinga...
NINI HASA LENGO LA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI KUIAGIZA BODI YA TPDC KUPITIA UPYA MIKATABA YOTE YA MAFUTA NA GESI ASILI?
Tarehe 15 Septemba 2012 Waziri wa Nishati na Madini Prof...
Habari na heri ya mwaka mpya,baada ya kuperuzi jamii forum as a guest kwa miaka nenda rudi suala la wizi wa rasilimali za nchi hii zinazofanywa na ccm kwa wazi wazi limenilazimu nijiunge rasmi...
Naanza na kusema kwamba!! NCCR MAGEUZI wamelamba dume? ama wamelamba galasa?
Nasema walamba Galasa kwa sababu 3,
Moja ni kwamba Kisandu kawadanganya hawa jamaa vibaya mno!
Mimi nikiwa mmoja wa...
"But there are also leaders, not MPs who by their conduct have assumed airs which at once are anti – people and anti – party… Their common denominator is their usurpation of the...
NINI HASA LENGO LA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI KUIAGIZA BODI YA TPDC KUPITIA UPYA MIKATABA YOTE YA MAFUTA NA GESI ASILI?
Tarehe 15 Septemba 2012 Waziri wa Nishati na Madini Prof...
Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini, Borafya Silima, leo katoa maoni yake katika Uwanja wa Alabama, Shehia ya Miembeni. Katika maoni yake kasema anataka Serikali Mbili, ya Muungano na ya Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.