Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KATIBU Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana amekerwa na chokochoko za kidini zilizoanza kujipenyeza hivi karibuhi na kutoa wito kwa madhehebu ya dini na taasisi zake hapa nchini,kuendelea kuhubiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzanian national arrested by Mozambican police with more than million US dollars in cash Maputo MAPUTO - The Mozambican police have arrested a Tanzanian citizen in the northern province...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Mahusiano na Uratibu, Mhe. Stephen Wassira atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete na Serikali ya Tanzania katika sherehe za kuapishwa kwa Rais John Dramani Mahama wa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CHADEMA mnatakiwa kumlinda na kumtetea kiongozi mwenzenu wa ngazi ya juu ya Chama Mh Zitto Kabwe dhidi ya siasa za kupakana matope ambazo zinafanywa na wanachama wa...
5 Reactions
121 Replies
9K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMATI ya Utendaji ya Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) inakutana Jumamosi, tarehe 05 Januari, 2013 katika kikao chake cha kawaida. Katika kikao hicho...
10 Reactions
113 Replies
10K Views
Wanalalamikia TANESCO kuwakatia umeme kwa mda mrefu, huu ni mwezi wa tatu tangu wakatiwe umeme na hamna taarifa zozote zinazotolewa na TANESCO wala serikali. Mwenyekiti wa Lema amemfuatilia hadi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa ccm ndgu. Abdulrahman Kinana amekerwa na chokochoko za kidini zilizoanza kujipenyeza na kuomba madhehebu ya dini na taasisi zake nchini, kuendelea kuhubiri amani na kuliombea taifa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
ZanziNews : Mahafali ya 12 Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani Zanzibar.UKWANI g
0 Reactions
2 Replies
820 Views
Salaam wakuu, Heri ya Mwaka Mpya Kama ilivyokuwa maazimio katika mjadala wa Jumapili ya wiki iliyopita tulijiwekea malengo ya kuwa na Mjadala wa muendelezo ili kuwawezesha wazungumzaji kuzijibu...
13 Reactions
108 Replies
9K Views
Jamani ee leo mimi nina kilio kikubwa na wana arumeru magharibi.Hivi huyu mbunge wetu mh Godluck ole medeye yuko wapi! Arusha mjini wenzentu wana jembe Godbles lema.Arumeru mashariki kuna dogo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwamba yale maandamanona malumbano ya wana Mtwara na sasa Taifa zima kuingia katika mjadala juu ya uvumbuziwa gas yameungwa mkono na baadhi ya Wanasiasa wa upinzani na hata wachache wa CCM ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nilikuwa nadhani yale mapendekezo ya watu kuwa katika katiba mpya tuwe na mawaziri waliosomea maswala ya wizara husika bila kujali vyama vyao ni mapya. Kumbe kwenye nchi nyingine hivyo ndivyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mradi mkubwa wa maji ulioahidiwa na Rais Kikwete katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2005 haujakamilika hadi sasa. Mradi huo ulioanza kutekelezwa mwaka 2006, umekuwa ni mtaji wa kura kwa mbunge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NIMEISOMA VIZURI MAKALA ALIYOIANDIKA NDUGU MCHANGE KWANZA HAIJUI KATIBA YA CHADEMA MAANA ANASEMA HIVI NUKUU: BAVICHA hawajawahi kupewa mamlaka na katiba ya chama chetu kuweza kumfukuza mwanachama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Constitutional Review Commission is on course with the review process and the Commission now says the Constitutional Councils could be formed mid-this year. The Councils are expected to be...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika upotoshaji wa hovyo unafanywa kwa sasa juu ya gesi ya Mtwara unaendelezwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa lengo la kujijenga kisiasa mikoa ya kusini,imekua wimbo kwa Chadema kwa...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Kwa wale wanaojua au kutumia hii gesi ya asili sasa hivi bei yake ikoje hapo Tanzania? Nani anapanga na kusimamia bei ya gesi ya asili inayopatikana nchini? Je bei yake ina tofauti kiasi gani na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya kukamilika kwa sakata kati ya tanapa na asante tours ya moshi ambao ulikuwa ni uwanja wa mapambano baina ya tanapa na nyalandu kumalizika hatimaye waandishi wa moshi wamelipwa fadhila yao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mikutano ya kupinga gesi kwenda Dar yaendelea maeneo ya Bima mjini Mtwara
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Watanzania tunatakiwa kuwa makini kwa kila hatua tunayopiga kisiasa katika nchi yetu ya Asali na Maziwa iliyozungukwa na Amani telee. Watanzania wanatakiwa kuwa makini na vyama vya Kisiasa kama...
2 Reactions
143 Replies
8K Views
Back
Top Bottom