Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa mtumishi wa umma kwa miaka kadhaa,lakini kutokana na sheria zetu nilikuwa sijawa active zaidi kwenye siasa bali nilikuwa mpiga debe kichinichini wa CHADEMA,kwa kuwa nimeacha kazi za...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwanza nawatakia heri ya mwaka mpya kwa amani na upendo wadau wote wa JF bila kusahau Mods. Ndugu zangu, Mwaka jana Freeman Mbowe ametoa kauli mbili nzito kwa nia njema na kwa maslahi ya...
33 Reactions
214 Replies
15K Views
05/01/2013 Source: wavuti.com - wavuti
1 Reactions
12 Replies
2K Views
FRIDAY, JANUARY 4, 2013 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege(TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman akimwelezea Dk Harrison Mwakyembe jinsi uwanja wa ndege songwe unavyofanya kazi...
4 Reactions
47 Replies
10K Views
JIJINI MWANZA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA ILEMELA LAENDELEA KUKUMBWA NA MTAFARUKU KWA MADIWANI WA CHADEMA KULISUSIA. Wataalamu na wafanyakazi wa idara mbalimbali wakifuatilia...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Naomba kuuliza kama ni kweli watumishi wa umma wanatekeleza ILANI ya chama cha mapinduzi kwani kunakiongozi mmoja wa chama hicho amenukuliwa akisema watumishi wa umma waache kushabikia vyama vya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kawaida, Jumuiya ya Vijana au Baraza la Vijana la Chama Cha Siasa (e.g. UVCCM na BAVICHA) ndio msingi wa uhai wa Chama. Uaminifu wa mwanachama hauji hivi hivi, bali ni matokeo ya mwanachama...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Sugu Asema... MAGAMBA - Kazi WANAYO... ANGALIA HUO UMATI wa WATU!!!! Umati wa Wananchi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nathani katiba mpya ni ya wananchi sio wanasiasa?
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Sitoandika mengi leo lakini kuna harufu ya ufisadi wa kutisha kuhusu hii meli ya MV LIEMBA ambayo serikali ya Ujerumani walikuwa tayari kutoa pesa ili itengenezwe ili iendelee kutoa huduma kwa...
2 Reactions
65 Replies
9K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, kikao ambacho kimewahusisha wabunge na wazee mashuhuri kutoka mkoani Mtwara kimefanyika magogoni - Ikulu mchana wa leo, lengo likiwa ni kuokoa kuzama kwa CCM kupitia...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
It was seven days before Christmas eve, the period in which Christians all over the world are busy with shopping and planning for the celebration of the birth of Jesus Christ, but to me it was a...
5 Reactions
60 Replies
7K Views
Wananchi wa mtwara wameungana wote kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kudai maisha bora na kutekelezewa ahadi walizoahidiwa. Hayo yamesemwa na wananchi wa Mtwara, mbunge na viongozi wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari JF, Mh mwenyekiti kwa mwaka huu alisema kuwa chama kime jipanga sana mwaka huu 2013 lakini CHADEMA DATA BASE SYSTEM Hii nilisiki kwa aman katibu wa chadema arusha siku ambaapo mimi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naombeni walaU Title ya Kitabu au chapisho lolote ambalo creator wake ni Jakaya Kikwete. Kwa title ya u Dr. aliyonayo ningependa nipate walau kujua reasoning yake ili nikamilishe thesis...
1 Reactions
66 Replies
5K Views
JIMBO LA NJOMBE MAGHARIBI KULIKUWA NA HUYU MLEZI WA CHADEMA BWANA THOMAS SIMON NYIMBO,IMEKUWAJE NA KUAMUA KUFUNGA OFFICE ZOTE ZA CHADEMA ALIZOZIFUNGUA KATIKA JIMBO LA WEST NJOMBE?:violin:
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Katika Hali ya Kuweweseka kuhusu maandamano yaliyofanyika juzi Mtwara Kupinga usafirishaji wa gesi asilia kwenda Dar. Waziri Sospeter amesema Wanasiasa ndio walio ratibu maandamano kwa nia...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
MGOGORO wa gesi umeingia sura mpya, baada ya viongozi wa dini mkoani Mtwara kuungana na wananchi kupinga usafirishwaji wake kwenda Dar es Salaam, huku Waziri wa Nishati na Madini Profesa...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwanza tumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuliwezesha taifa letu kuwa nchi ya kwanza afrika kwa amani na utulivu kufuatia utafiti wa BBC kwa mwaka uliomalizika juzi. Hapa kuna...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Nilikaa nikawaza tu, Mwaka 2010 niliamka asubuhi na mapema na kumpigia kura Dk. Willibrod Slaa wa CHADEMA kuwa Rais wa Tanzania. Yaliyotokea kwenye uchaguzi huo wote tunajua na tulishuhudia jinsi...
3 Reactions
327 Replies
28K Views
Back
Top Bottom