Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hali ya upatikanaji wa chakula katika wilaya kadhaa nchini ni mbaya sana! Baadhi ya watu wanaishi kwa kula majani na kuchemsha maembe! Kilio hiki kimetolewa na wakuu wa wilaya nyingi hapa nchini...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanajf, tunapoanza mwaka nimeona nizungumzie mwenendo wa bunge letu tukufu yaani bunge la kumi chini ya spika Anna Makinda [Bi Kiroboto] Baada ya uchaguzi mkuu wa 2010, wengi tulitarajia bunge la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni nilikuwa karani wa sensa ya watu na makazi iliyofanyika2012.Napenda kueleza kwa masikitiko makubwa dhuluma tuyofanyiwa sisi makarani wa sensa katika mji mdogo wa Orkesumet-simanjiro ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Twaweza kulijenga taifa letu katika maadili mema kwa kulirudisha azimio la arusha ambalo lilikuwa na maadili na miiko ya uongozi
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Kuna umuhimu gani wa sisi raia wa kawaida(sio wanasiasa) tukapewa mamlaka ya kwenda kukata rufaa kwa wagombea mbalimbali ambayo tunasababisha gharama nyingine zisizo za msingi kwa taifa letu...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO - CHADEMA Mkoa wa Singida kinaungana na wana-Arusha katika kukumbuka mauaji ya kinyama kwa vijana wetu yalitekelezwa na jeshi la polisi tarehe 05/01/2013...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
05/01/2013 moja ya mabango yaliyokuwa yamebebwa na waandamanaji Mtwara Mwenyekiti wa wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Wananchi – CUF, amezungunza na vyombo vya habari hivi leo na kusisitiza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg wana JF Mheshimiwa ambaye nchi inamtatanisha kila kukicha kwa kila sekta leo mchana atazungumza na wananchi wa jimbo la STANDARD AND SPEED SAMWELI SITA, Haijulikani atakuja kuleta mpya gani...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe Deo Filikunjombe (pichani)akubali kunyeshewa na mvua kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi wa kijiji cha Chanjale wilayani Ludewa ambao walikuwa...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Chama cha Mapinduzi kimekuwa katika wakati mgumu baada mbunge wao Dr. Cyril Chami kutokomea kusiko julikana.Imedaiwa na wenyeviti mbalimbali wa vijiji kuwa toka mbunge wao Chami kunyang'anywa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika mtaa wetu tuna tatizo kubwa la maji tangu tupate uhuru hatuna maji. Wananchi tulio mrengo wa CHADEMA tukaamua tuchange pesa ili tulete maji na wananchi wote wa mtaa wakakubali mchango...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimejipanga kuhakikisha wanarejesha majimbo yote kiliyoyapoteza katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2015 kwa kuwa kimeshabaini sababu za kupoteza majimbo na kata...
0 Reactions
81 Replies
6K Views
Ni dhairi sasa ccm imechoka kuongoza au imelewa na madaraka sasa baada ya kukaa madarakani kwa miaka zaidi ya 50 na hatuoni mabadiliko yoyote kimaendeleo nchini wakati umefika pale watakaposhindwa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kweli kikwete alichofanya ni kupandisha garama za maisha kwa miaka 8 ulipie umeme, maji, usafiri, matibabu kwa kiwango cha juu. Viongozi wameshindwa kuzua mfumuko wa bei kero kuu. Cha ajabu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ningependa muihoji serikali ya CCM iseme ni lini watanzania wanaoishi nje ya nchi watapata haki ya kupiga kura wakiwa huko kwenye nchi wanazoishi ili wamchague rais?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WABUNGE kutoka Bunge la Uingereza (House of Commons) wameisifu Tanzania kutokana na jitihada zake za kupambana na ugonjwa wa malaria na kusema ni mfano wa kuigwa barani Afrika. Jamani wanJF...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
nisaidieni wanaharakat, mweyekiti wa ccm mkoa wa singida ankadi ya chadema, na.nr. 212231, aliyochukua baada ya kuchakachuliwa na salome mwambu, atairudisha lini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gharama za ardhi kuwaliza wananchi WANANACHI wa kawaida wenye vipato vya chini huenda sasa wakaikosa haki yao ya kufungua madai ya ardhi au makazi kutokana na serikali kupitia Wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Zile harakati uchwara za M4C zinazoendeshwa na chadema zimeingia hatua nyingine muhimu ya kudorora na kususiwa na wananchi hasa katika hatua ya kutoa sadaka cjui mchango wa kueneza hayo yameanza...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom