MZEE WA USSOKE
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 42
Ningependa wana JF tujadili suala hili,la wanasiasa wapohama chama kimoja kwenda chama kingine kwanini wanapenda kusema mabaya tu ya chama alichotoka,kana kwamba hakuna mema aliyokutana nayo kwenye hicho chama.
maswali yafuatayo naomba tusaidiane kuyajibu kwa lengo la kujenga zaidi na siyo kuharibu
=hawa wanasiasa wanakuwa wachanga kisiasa au ni ujinga wa kisiasa
=hawa wanasiasa wanajiunga kwa agenda zao za ubinafsi au
=ni ulimbukeni wa kisiasa?
Mwanasiasa aliyekomaa hawezi kulopoka mambo ya kitoto,mbele ya wanaume.
mwanamke wa hovyo anapoachwa na mume wake huondoka na kusema maneno ya hovyo,lakini aliye na busara hawezi fanya upuuzi huo,
Naomba kuwasilisha.