Kikwete ndani ya Singida

Kikwete ndani ya Singida

praika

New Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Jana mnamo saa kumi na mbili njioni rais Kikwete aliwasili Ikulu ya Singida kwa ajili ya maandalizi ya kuhudhuria kuingizwa kazini askofu wa KKKT.Hilo kubwa ambalo nimeambiwa,ila kilicho nisikitisha ni utumiaji mbaya wa kodi za wanaichi msafara mkubwa mno jamani hata ndani kuna kujifunza biashara au wawekezaji?nje hudai wanaeda kujifunza, ndani je?
 
Back
Top Bottom