Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Saturday, January 12, 2013 MCHAKATO wa ukusanyaji wa maoni ya wananchi yatakayosaidia katika uundwaji wa Katiba Mpya unaendelea na safari hii ni zamu ya makundi maalumu vikiwemo vyama vya siasa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya wanajamii wote Tunapouanza mwaka huu tukiwa na changamoto nyingi, ikiwemo ya mustakabali wa nchi yetu, ni vema tukajikumbusha na kuyaenzi yale yote yaliyofanywa na mashujaa...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikagua gwaride la Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Vyama vingi vimeweka macho yao 2015,vijana wengi wanatafuta nafasi za udiwani na ubunge wamesahau kuhusu serikali za mtaa kabisa. Uchaguzi wa serikali za mtaa utafanyika mwaka 2014 lakini cha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SERIKALIya Uswisi imesema Serikali Tanzania haijaonyesha nia ya dhati kutaka kuchunguzana kupata mabilioni ya fedha yaliyofichwa na Watanzania katika benki mbalimbalinchini humo. Akizungumza...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Chanzo: http://www.facebook.com/pages/National-Convention-for-Construction-and-Reform-Mageuzi-NCCR-Mageuzi/301165413301817?ref=hl ITIKADI YETU
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ukweli usiofichika kwamba ndani ya chama chetu (CHADEMA) kuna makundi matatu ya hisia. Nayaita ya hisia kwa sababu siamini kama makundi hayo yako real, kwa maana kwamba yana mtandao. Kundi la...
9 Reactions
199 Replies
10K Views
Written by Hapa ni Pangu // 12/01/2013 // Habari // 2 Comments Asalaam alaiokum… Katika attachment hii, kuna picha ya mtoto ambaye amezaliwa akiwa na tatizo la maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna shutuma zilitolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA kuwa alimtangaza DR Slaa kama mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho kwenye mkutano uliofanyika mjini Karatu. Mbowe alikanusha shutuma hizo...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Amakweli mwaka 2013 ni mwaka wa Nguvu ya Umma. Kuthibitisha hayo Mbunge David Matayo David ameendelea kuweweseka kutokana na Kasi ya vijana wa CHADEMA wanaoendelea kufanya mikutano jimboni kwake...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
WAPIGA KURA JIMBO LA IRINGA MJINI WAMSHANGAA MBUNGE WAO WAKATI mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (pichani )na viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema)...
0 Reactions
108 Replies
9K Views
‘Tanga ina viwanda 72 vinavyofanya kazi': WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda amewataka baadhi ya wakazi wa Tanga kuacha kukurupuka na kuanza kutoa malalamiko yasiyo na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
THE BIG SHOW IS HERE.YES HE IS BACK AGAIN,JAPO CCM & THEIR SONS LIKE RITS HAWAPENDI,, NGOJA NA TUENDELEE,NA KWANINI TUSIENDELEE KUIPIGANIA NCHI YETU WAKATI CHOMBO HURU KAMA JF KIPO...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Pamoja na kuwa kwenye chama Tawala chenye wimbi la mafisadi wa kila aina nakili wawili hawa ni watu wakweli, wanajua siasa na ushauri wao unaonesha kuwa wanamapenzi ya kweli na CHADEMA. 1...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Serikali ya Zambia imepiga marufuku uwindaji wa Simba na Chui kufuatia kupungua kwa idadi ya wanyama hao nchini humo. Waziri wa utalii wa Zambia, Sylvia Masebo, amesma serikali ya nchi hiyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama kawaida ya jukwaa hili,tuungane kuleta habari moja kwa moja toka uwanja wa amani kupashana kipi kinachoendelea. Karibuni.MAPINDUZI DAIMA
2 Reactions
125 Replies
9K Views
"CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, kimeeleza nia yake ya kutaka kuachiwa mamlaka ya kumchagua mgombea urais wa visiwa hivyo, badala ya utaratibu wa sasa unaoshirikisha wenzao wa Tanzania Bara...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Leo katika taarifa ya habari ya TBC1 nimemwona waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi akiwahutubia wananchi wa Muleba huku akisisitiza kutekeleza ilani na sera za chama chake na akiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefatilia mijada ya katiba mpya, kila nikiangalia watetezi wa wananchi kuna mambo bado yanasahaulika katika kumkomboa mwananchi kutoka katika umasikini. Suala la rasilimali. Nilitegemea kuona...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Membe akiwa na Rais Rajorina. Nakumbuka Membe alivyomwita huyu bwana "Mchezo Disko"
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Back
Top Bottom