Mzee ruksa ameingia uwanjani na anapewa makofi makubwa kama kawaida yake,ni kipenzi cha watu
pia,maalim sharif anaingia hapa na makofi kama kawaida ya nguvu yanamfuata. Maalim siku hizi ni mtu wa mazoezi kwelikweli
Mtoto wa mkulima ametinga akiambatana na kipenzi chake cha roho mama tunu pinda. makamu wa rais dakt bilal amewasili pia. Tunasubiri rais wa jamhuri kutinga hapa
Well!! daktar kikwete amewasili hapa askari wamekakamaa vibaya sana,bendera ya taifa imekunjuliwa imebaki bendera moja kufunguliwa hapa nadhani unaijua. Yupo na first lady,anapokelewa na mkuu wa majeshi,wimbo wa taifa unaimbwa na bendi ya jeshi
Anasubiriwa Mgeni rasimi ataingingia na atapigiwa mizinga 21 na WIMBO WA TAIFA LA ZANZIBAR utaimbwa. Leo Jk inabidi awe mpole tu maana protocal inamweka juu rais wa zanzibar
Naam nimeahidiwa wimbo wa 'Taifa' la Zanzibar utaimbwa....na watu wote wanatakiwa kuuimba. Nitaomba hao TBC na ZBC watusaidie kutuonyesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Jakaya Mrisho Kikwete akiuimba wimbo huo wa 'taifa' wa Zanzibar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.