Mchango wa tiba

Mchango wa tiba

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,483
[h=1][/h]Written by Hapa ni Pangu // 12/01/2013 // Habari // 2 Comments




[TD="colspan: 3"]
[/TD]

Asalaam alaiokum…
Katika attachment hii, kuna picha ya mtoto ambaye amezaliwa akiwa na tatizo la maji katika ubongo wake na ambaye mwenye familia ya kimasikini, kutoka kisiwa cha Fundo huko Pemba.
Kwa ajili ya tatizo hili, tunawaomba wana-Diapsora mulioko GTA, ST. Catherine, Niagara na vitongoji vyengine vya Toronto, kujitahidi kuchangia kuanzia kiwango cha dola 5 tu kwa ajili ya kumsaidia mtoto huyu ambaye pia tumuombee dua Allaah ampe shifaa.
Tafdhali wasilisheni michango yenu kwa Leila 416-541-0965, Hassan Othman 416-438-7857, Mohammed al-Nabhany 647-499-6245. Tafdhali ukipata taarifa hii wajuilishe wengine ili na wao waweze kusaidia. Kiwango cha chini ni dola tano tu.
Allaah awajaalie moyo wa kusaidia kwa ajili yake, na tukumbuke kuwa ukitoa kwa ajili yake basi anakutilia baraka katika mapato yako. Amina.
Mwan-Diaspora
Nabhani

Mtoto Suleiman Hamad. Ana miezi mitano. Kutoka Fundo Pemba. Ana matatizo ya maji kwenye ubongo. kichwa chake kinakuwa kikubwa kila kukicha. wazazi wake hawana uwezo wa kumtibu. Kwa sasa anapatiwa matibabu hospital ya Muhimbili. Anahitaji msaada wangu na wake. Donate for the treatment of this poor baby. Malipo kwa Allah. wasiliana nami kwa msaada na maelezo. Allah bless you all




[h=4]Related Posts[/h][h=3]HUTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR DR ALI MOHD SHEIN KATIKA SHEREHE ZA MAPINDUZI[/h]
[h=3]HIZBU-UL-TAHRIR AFRIKA MASHARIKI YALAANI KITENDO CHA MWANAIDI IDDI KAGIRE KUJIITA MTUME[/h]
[h=3]CCM ZANZIBAR YATAKA URAIS WA MUUNGANO UGOMBEWE KWA ZAMU KATI YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.[/h]


[h=3]Rais Shein ataka michezo irejeshwe mashuleni Zanzibar[/h]
[h=3]Meli ya mafunzo kuwasili Zanzibar[/h]





[h=3]2 Comments on "MCHANGO WA TIBA"[/h]

  1. edeae009957c31cbefb1cf147d4a648f

    brenda 13/01/2013 kwa 1:12 mu · Ingia kujibu
    M/mungu atampa afueni Inshaaalllah.Tuko pamoja Inshaalllah



  2. adf798d9365cdf44b2ad8c6d0ebd8488

    makame silima 13/01/2013 kwa 8:15 mu · Ingia kujibu
    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/383658-uswisi-waianika-serikali-ya-jk.html#post5441301
    Saturday, January 12, 2013Uswisi waianika Serikali ya JK
    Na Ibrahim Yamola
    SERIKALI ya Uswisi imesema Serikali Tanzania haijaonyesha nia ya dhati kutaka kuchunguza na kupata mabilioni ya fedha yaliyofichwa na Watanzania katika benki mbalimbali nchini humo.
    RAIS Jakaya Kikwete
    Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi Jumamosi, jijini Dar es Salaam jana, Balozi wa Uswisi nchini, Olivier Chave alisema mpaka sasa hakuna jitihada zozote zilizofanywa na Serikali ya Tanzania kutaka ufumbuzi wa tuhuma hizo.
    Balozi Chave alisema hayo muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yake ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Hata hivyo wote wawili hawakuwa tayari kueleza ni kipi kilichojiri katika mazungumzo yao.
    Katika kikao cha tisa cha Bunge, Novemba mwaka jana, Zitto aliwasilisha hoja binafsi kulitaka Bunge kuchunguza na kuielekeza Serikali kuchukua hatua dhidi ya Watanzania walioficha fedha na mali haramu nje ya nchi.
    Katika mazungumzo yake jana, Chave alisema: “Uswisi iko tayari kushirikiana na Tanzania kujua uhalali wa fedha hizo na endapo zikigundulika ni fedha chafu basi tutazirejesha nchini.” Aliongeza:
    “Serikali ya Uswisi haina tatizo kwani tumeshafanya hivyo kwa nchi za Ufilipino na Nigeria hivyo tutafurahi na Tanzania kama tutamaliza suala hili”. Alisema habari zinazoandikwa kuhusu mabilioni hayo kuhifadhiwa katika Benki za Uswisi, zinaharibu picha ya nchi hiyo mbele ya mataifa mengine, hivyo angependa suala hilo kumalizwa na kwamba wao wako tayari kusaidia.
    Kauli ya Zitto
    Kwa upande wake, Zitto alisema hadi sasa Serikali haijamfuata kutaka kutoa ushirikiano wa aina yoyote kuhusu tuhuma hizo.
    Alisema kuwa ingawa Serikali ilitaka iachiwe tuhuma hizo ili iweze kuzifanyia kazi, lakini hadi sasa ukimya umetawala.
    “Tangu kuahirishwa kwa kikao cha Bunge sijafuatwa na AG (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) wala mtu yeyote na sijui kipi kinachoendelea,” alisema Zitto na kuongeza:
    “Nitaandika barua na kumkabidhi AG siku ya Jumatatu (keshokutwa ), nitahoji nini kinachoendelea katika uchunguzi huo.”
    Zitto ambaye pia ni Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Naibu Katibu Mkuu Chadema, alisema Serikali ya Tanzania haionyeshi nia ya kuzihitaji fedha hizo. Aliongeza kwamba kuna njia mbili za kuwabaini walioficha mabilioni hayo nchini Uswisi. Kwanza ni kwa Serikali ya Tanzania kushirikiana na Serikali ya Uswisi, pili ni ulipaji wa kodi wa fedha ambazo Watanzania wameweka katika benki nchini humo.
    “Njia hii ya pili nayo ni rahisi kwa sababu ukienda kuuliza Uswisi wanaolipia fedha hizo utapata majina yao. Hivyo Serikali itaweza kukamilisha taarifa yake na kuiwasilisha bungeni katika kikao kijacho” alisema Zitto.
    Taarifa kutoka Benki Kuu ya Uswisi inaonyesha kuwa baadhi ya fedha hizo zimewekwa katika akaunti za vigogo hao na kampuni za mafuta na gesi zilizopo nchini.
    Chanzo: Gazeti la Mwanachi

 
Back
Top Bottom