Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NANI anamiliki ya dhahabu yote iliyogunduliwa Tanzania hivi sasa? Nani anamiliki yote ya misitu iliyopo nchini? Nani anamiliki ya gesi asilia iliyogunduliwa hivi karibuni mikoa ya Pwani...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Kumekuwa na mjadala na ubishani wa kimtazamo katika suala la muundo siyo tu wa kiutawalawa dola (Serkali) lakini pia muungano wetu. Kwa kweli mambo haya mawilihayawezi (muundo wa utawala na muundo...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Januari 10, 2013 | Waandishi Wetu, Singida, Tabora | Rai NI dhahiri kwamba, Rais Jakaya Kikwete ameshaanza kujipanga kwa ajili ya kukabidhi madaraka yake kwa mrithi wake wakati atakapomaliza...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
DEMOKRASIA NA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA MAONI KUHUSU KATIBA MPYA Kutoka kwa: M.M. Mulokozi [Januari 2013] Profesa Mstaafu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, S.L.P. 35110, Dar es...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Awadh Ali Said (kulia) akiongea na Ujumbe wa Baraza la Hindu Tanzania kabla ya Baraza hilo kuwasilisha maoni kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HABARI ZA KAZI WANABODI. Kuna kitu ambacho sijakisikia sana wala kuona kama agenda muhimu katika kuandika katiba mpya.Nimepata kusikia kuhusu makundi ya taasisi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Kwenye nchi yenye demokrasia ya kweli, ukikubalika unachagulika. Kwenye nchi yetu hamna demokrasia. Kwahiyo kukubalika kama inavyokubalika CHADEMA haina maana kwamba njia ni nyeupe itachaguliwa"...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mda mrefu nimekuwa nikishuhudia wajumbe wa nyumba kumi wakifanya kazi za serikali kama vile waajilwa serikalini au wamechaguliwa na wananchi.naomba kuelewa kama hili swala ni sahihi kisheria!!
0 Reactions
0 Replies
828 Views
kitendo cha Serikali kukopa fedha kwa ajili ya matumizi yasiyo na umuhimu pamoja na kuwalipa watumishi wake mishahara, kimesababisha taifa kuwa na deni la Sh22 trilioni. Hii ni hatari hasa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndugu wa JF Inasikitisha sana kuona Watanzania tunakubali kuchakachuliwa kirahisi na wenzetu wa nje ili kuharibu mpango mmoja ambao ninauthubutu wa kusema ni wa kwanza mzuri ambao Wizara ya...
3 Reactions
74 Replies
6K Views
NYUMBA 19 ambazo idadi ya wakazi wake haikujulikana mara moja zimeteketea kwa moto unaodaiwa kuwashwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa akishirikiana na polisi wa Kituo ch Staki-Shari jijini...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
The construction of a railway line to link three countries will commence in March, this year following the completion of a feasibility study and will be financed by the African Development Bank...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Revolutions have never lightened the burden of tyranny, they have only shifted it to another shoulder - qoute Bernard Shaw. Tafakari.
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Heshima wana-jamvi. Wageni ni: 1.naibu waziri wa nishati na madini mh Simbachawene, 2. Mh james Mbatia 3.Dr.Prosper Ngowi Karibuni wanajamvi mjadala unaendelea.
0 Reactions
41 Replies
3K Views
MBUNGE wa Jimbo la Iringa ,Mchungaji Peter Msigwa “Ninajua kero ya maji na barabara ndizo zinazowatesa wakazi wa kijiji hiki hususani wakina mama, lakini niseme tu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukweli usiopingika kuwa nchi yetu ingekuwa na majimbo au mikoa michache sasa hivi kiuchumi tungepiga hatua mno. CHADEMA wametoa maoni yao kimgawanyo wa majimbo kama ifuatavo:- 1. Nyanza Magharibi...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
wakati Tanzania ikiendelea kusuasua na kujaribu kutafuta suluhu kupitia nchi zingine za Africa, wamalawi wamekuwa wazi kupitia Rais wao Joyce Banda kuwa ziwa nyasa ni mali yao no negotiation...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Gesi yaibomoa CCM • JK, mawaziri, wabunge wapingana na Josephat Isango SAKATA la maandamano yaliyofanywa na wananchi wa mikoa ya kusini kupinga mradi wa gesi, limekivuruga...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kuwapa moyo wana CHADEMA wote kupitia uzi huu kuwa hakuna sababu ya kutikisika wala kusikitika kwa yote yanayotokea sasa. Kwani hiki ni kipindi ambacho Mungu anataka kukitumia kuchuja wana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom