Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wanajamvi hawa CCM watatumaliza, Leo katika taarifa ya habari ITV Diwani wa kata ya Mgango WANDI MAGULU amekamatwa kwa kuwakata vichwa wakinamama wa BUTIAMA na kukimbia navyo. SOURCE: ITV...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Je ni wangapi humu JF wameshatoa maoni yao ya katiba mpya?Kwenda kwa tume moja kwa moja,njia ya mkusanyiko wa hadhara,kwa maandishi n.k.Nyoosha mkono useme mimi ni tayari,usiseme uongo.Kama bado...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MFUMOMPYA WA MUUNGANO WA MKATABA: Kamanilivyotangulia kueleza, tumedumu na Muungano wa Katiba kwa miaka 49 ambaopamoja na mafanikio ya kuziweka nchi zetu mbili pamoja katika kipindi chote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mh. Joshua Nassari alihutubia mkutano wa M4C jimbo la Arumeru Magharibi siku ya jumamosi akishirikiana na viongozi wa chama wa Arumeru Magharibi, Mh. Gibson na makamanda wengine kutoka Arusha mjini.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza, kama nchi yetu kwa miaka yote inajinasibu kuwa haina dini, ni kwa vipi viongozi wetu hasa mawaziri na hata mahakamani wahusika wanaapa wameshika Biblia(wakristo) na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siasa ina vituko vyake. Katibu Mkuu wa CUF,mpiganaji wa siku nyingi na mwanasiasa mkongwe, amenaswa na mtego wa CCM. Amemezwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar lakini mikono mitupu. Yeye...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimepata habari kwamba Wajumbe wa Tume ya katiba wako ktk mvutano wa chini kwa chini kuhusu hoja ya mahakama ya kadhi. Kuna wajumbe wanataka Mahakama ya kadhi iwepo, wakati wajumbe wengine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndiyo Wakuu, Heshima kwenu! Muda mfupi ujao, Kamanda Mawazo atakuwa live tuongee asubuhi Star tv ambapo Mada itahusu Mapinduzi ya Zanzibar. Naomba kuwasilisha.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila siku Tembo 63 wanauwawa katika hifadhi na mapori hapa Tanzania. Mwaka 2010 ilikuwa ni Tembo 37 kwa siku. Mwaka 2012 takribani Tembo 20,000 waliuwawa. Biashara ya meno ya Tembo imeshamiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
inashangazasana tena sana ..jiji la dar es salaam kuwa chafu ama niseme linaongoza kwauchafu...bila shaka wakazi wa hapa mnashuhudia mitaa ilivo michafu na tabia yasasa ambayo ni sugu ya baadhi ya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanabodi, Salaam. Leo ndio siku ya kumbukumbu ya Mhe. Regia Mtema (RIP), kumbukumbu rasmi itafanyika jioni ya leo pale Peacock hotel, lakini kwa vile Marehemu alikuwa ni very active member wetu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
JUMATANO, JANUARI 09, 2013 06:52 NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema mwaka huu lazima alifumue Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Watanzania wapenda mabadiliko asalamu aleikum! Baada ya kukutana na makamanda wenyeviti na makatibu wote wa Tanzania bara na visiwani (CDM) na kubadilishana nao mawazo, hapa nitaweka mawazo...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Mjadala unaendelea na wengi wanapinga maandamano!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema hakuna mambo yaliyoainishwa kuwa ni matakatifu ambayo hayatakiwi kuguswa wakati wa kujadili Katiba mpya ya Jamhuri ya...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
sina hakika kama habari hii ishajadiliwa hapa lakini cha muhimu ni hii ahadi yenye mashaka ya mbunge wa Temeke sijui kama ana jua kilichowakuta wakenya na watanzania waliobahatika kutoroka saudi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Yohana Killaghane - mkurugenzi wa TPDC '' Gesi ipo nyingi sana'' Mh. Zitto Kabwe- Mbunge akosoa kunadi vitalu vya gesi kwa makampuni ya kimataifa badala ya TPDC kupewa kipau mbele , Temeke DSM...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naangalia ITV sasa wameonyesha matukio muhimu ya mwaka 2012 1. Kutekwa na kupigwa Dr Ulimboka 2. Aliporudi kutoka kwenye matibabu kutoka Afrika Kusini 3. Tukio la kuuwa kwa Mwandishi wa habari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
BARUTI zilizotengenezwa maalumu kwa ajili ya kulipua miamba, sasa zimezagaa katika Soko la Samaki la Kimataifa, lililopo Feri jijini Dar es Salaam, jirani na Ikulu ya Rais Jakaya Kikwete, zikiuzwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Yawapasa Mwinyi na Membe kuwa wangekuwa wameachia ngazi kwa matukio waliyohusika nayo. Membe kupeleka jeshi Malawi kutangaza vita, na Mwinyi kuharibu silaha za kijeshi. Membe ana tabia ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom