Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimetafakari sana hili bila kuwa na jibu; Hivi ni kwanini tunazuiwa kutoa maoni ya kuhusu katiba mpya bila kutaja UMRI, MAJINA KAMILI NA JINSIA??? Kwanini UMRI? kwanini MAJINA KAMILI? kwanini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana mwenendo wa matukio yanayohusiana na namna maliasili ya nchi yetu. Suala la mikataba mibovu ya makampuni ya uchimbaji madini wakati tuna wasomi waliobobea...
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Ni jimbo linaloongozwa kwa sasa na waziri wa chakula, kilimo na ushirika Mh. Christopher Kajoro Chiza kwa awamu ya pili sasa. Mwaka 2010 alipambana vikali na mgombea kwa tiketi ya NCCR ndugu...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Ili Tanzania iweze kuendelea uzalendo wa viongozi lazima. Maana viongozi wetu si wazalendo hutumia muda wa uongozi wao kujijenga na kuwasahau uuma ambao uliangaika pindi unapiga kura. Kweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na ArArodia Peter NILIWAHI kuandika katika moja ya makala zangu kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewekeza kwa ‘wajinga’pamoja na kizazi kinachoelekea mwisho. Nilitoa mifano namna chama hicho...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbunge wa kigamboni ndugu Faustine Ndugulile kashindwa kuwajengea daraja wapiga kura wake wa eneo la Tuangoma wameamua kujikamua na kujenga daraja baada ya kuchoka kupiga mbizi na manenoatamu toka...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kiongozi yeyote kugombea nafasi zaidi ya mara 3 ni uroho wa madaraka. Mfano pale CUF nahisi wanaamini bila Prof Lipumba hawawezi kufika kokote maana inakuaje yeye ndo mgombea urais wao mfululizo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu? Naomba nijibiwe swali langu kama lilivyo hapo juu? Vyama viko vingi sana,NCCR-CUF,UDP,CCM,CHAUMA,DP,TLP,ADC na vingine vingi unaweza ongezea(Japo chama kikuu cha upinzani huja...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Ndiyo Wakuu, heshima kwenu ! Jioni hii mbunge wa jimbo la Nyamagana atafanya mkutano wa hadhara nganza-nyegezi. Katika mkutano atakuwepo pia na Kamanda Mawazo. Kwa wasio fahamu jiografia ya eneo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele wanakijiji wenzangu! Maranyingi nimekua nikiamini kuwa "media is the voice of the voiceless" hiki ndicho haswa kimenifanya nilete hoja yangu hapa. Jimbo la Lupa ni moja kati ya...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
ilikuwa ni katika uzinduzi wa safari za kigoma - dar source: ITV
0 Reactions
40 Replies
6K Views
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameingia matatani, baada ya kutakiwa kukanusha tuhuma alizozitoa bungeni katika Mkutano wa Tisa wa Bunge, kwamba mfanyabiashara wa kigeni, Moto Mabanga...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
habari, hivi karibuni baada ya maandamano ya wanamtwara tarehe 27/12/2012, kupinga uamuzi wa serikali kusafirisha gesi kwenda mkoani dar es salaam, umezuka mjadala mkubwa ambao pia umefanya watu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sunday, January 13, 2013 Teodoro Nguema Obiang akiwa amesimama mbele ya kasri lake Ahmed Rajab Toleo la 276 9 Jan 2013 TEODORO Nguema, mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea, ana...
0 Reactions
2 Replies
954 Views
At time when we began asking for leadership on the ongoing debate about natural gas discoveries in the southern regions, the president has finally spoken. Addressing a meeting of elders in Tabora...
1 Reactions
0 Replies
662 Views
  • Closed
Baada ya kunukuliwa akisema kuwa kama angekuwa na uwezo wa kuvikokota visiwa vinavyoishi binadamu wanaounda nchi inayoitwa Tanzania ni kuwa tayari Nyerere alishajivua dhamana ya uongozi wa baadhi...
2 Reactions
238 Replies
14K Views
wapo wanaodhani kwamba jimbo la iringa mjini lilikosewa kuwa mikononi mwa chadema,wapo wanaofikiri kwamba eti ipo siku jimbo litarudi chama cha mapinduzi,na wengine wanajipa moyo kuwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
• CHENGE ABEBESHWA MZIGO KUWASILISHA HOJA BINAFSI na Mwandishi wetu SIKU moja baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Chiligati, kueleza mkakati wa kutaka...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Napenda kuwataarifu kuwa kutakuwa na kikao cha wanaharakati wa mtandaoni wanaopatikana hapa Musoma! *Lengo kuu ni kufahamiana,pia-na kupanga ni jinsi gani tunaweza kuizika CCM hapa Musoma...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nini tofauti yako na wale wa ccm.ambapo tangu uhuru siku zote huishi jijini.2015,tuna taka mwenzetu ajuaye dhiki zetu, ajuaye aina ya maji tunayokunywa yanayonuka kinyesi cha ng'ombe ama punda.kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom