Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,499
- 872,287
Heri ya mwaka mpya wanajamii wote
Tunapouanza mwaka huu tukiwa na changamoto nyingi, ikiwemo ya mustakabali wa nchi yetu, ni vema tukajikumbusha na kuyaenzi yale yote yaliyofanywa na mashujaa wazalendo wetu kwenye nyanja mbalimbali hasa SIASA lakini leo hawakumbukwi kabisa au angalau kutajwa na pia wengine wakiwa wamekufa vifo vyenye utata
Nankumbuka hayati Prof Chachange S. Chachange na kitabu chake cha 'MAKUWADI WA SOKO HURIA'
yale yote aliyoyaandika ndo yametokea yote kipindi chote hiki!
Je kama Taifa tufanyeje kuwaenzi watu kama hawa?