Nimepitia sheria ya mabadiliko ya katiba kuona haya mabaraza yanaanzishwa chini ya kifungu gani cha sheria nimeshindwa kupata. Nimejaribu pia, kutafuta mabaraza haya yakakuwa composed na watu...
UMEME HALI NI TETE
na Mwandishi wetu wa Tanzania Daima (28/12/2012)
LICHA ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wale wa Shirika la Ugavi wa Umeme (TANESCO)...
Sema! Tanzania kwa Watanzania.
Kama Marekani kwa Wamarekani:
Hiki ni kilio cha kudai Usawa na haki ya Taifa,
Iwe ni kwa amani au kwa mapinduzi.
Watanzania ni binadamu, sio tena wajinga...
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema kuwa wanasubiri ripoti ya mtaalamu mwelekezi ili waanze uendelezaji na uboreshaji wa reli ya pamoja itakayounganisha nchi za Tanzania, Rwanda na...
Hii idadi ya raia wa Zanzibar inatia mashaka kiukweli. Kwanza wazanzibari ni wepi? Ni wale walio visiwani tu au na wale walio nje ya visiwa? Kwa tamaduni ya mzanzibari na uislam katika suala la...
Nikiri wazi kuwa hatua inazochukua CHADEMA za kukiweka chama kwenye mstari zinaonekana!ifahamike kuwa CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini kinachokinyima usingizi Chama Cha Mapinduzi...
JANA MTAA WA KITANZINI
hali ilivyokuwa
operation ikiendelea
baada ya usafi
LEO ISAKALILO
wafanyakazi toka ofisi ya afya iringa walipo wasili
wananchoi wa...
.........................REGIA MTEMA MEMORIAL EVENT...................
Siku ya Jumatatu; tarehe 14 January 2013 ni siku ambayo Regia Mtema Foundation imeitenga maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya...
Sat, Jan 12th, 2013
Headlines / Tanzania |
Development stakeholders in Tanga want their region to be divided into two administrative areas.
Presenting a paper during a Regional...
Wana JF
Nina hoja ndogo tu ila natoa angalizo ila sishabikii ukabila.
Hoja yangu hii inawalenga hasa kwa watu wa kanda ya ziwa, hivi ni kwa nini nafasi za ubunge na udiwani zimechukuliwa na...
Wengi tulishuhidia vitimbi, matusi, kashfa, uzushi, tuhuma na kila aina ya vituko vya kufunga mwaka vilivyotoka kwa vijana wa CHADEMA ikiwa ni ishara ya kuuwaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka...
Nimepewa taarifa na shuhuda kuwa Rais Mwinyi amefuata nyanyo za Rais Mkapa kwa kutinga mahakama ya Kisutu kutoa ushahidi.
Kwa mujibu wa mtoa habari Rais Mwinyi bado yuko Kisutu maana motorcade...
Kuelekea uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 kuna changamoto nyingi sana zinazolikabili taifa letu na zinazohitaji uongozi imara mara baada ya uchaguzi wa mwaka 2015. Na kwa uhalisia inavyoonekana mchuano...
watu wengi wamekuwa wakitoa maoni yao nchi nzima lakini watambue kuwa sio kila wanachokisema na kukipendekeza kitakuwepo kwenye katiba ijayo...na yatachambuliwa baadhi tuu...
hivo basi ni nini...
TAASISI ya Jumuiya ya Waislamu na Taasisi za Kiislam, zimetaka Katiba mpya itamke kuwepo na chombo cha kisheria kitakachosimamia na kuwa na mamlaka ya kusikiliza masuala ya Kiislamu. Maoni hayo...
With due respect Ambassador Mwanaidi Maajar:
I had a chance to listen to Jamii Production interview with Hon. Mwanaid Maajar, the Tanzanian Diplomat in the USA. With due respect, I...
Wanajavi naombeni ufafanuzi mimi ni mwanachama wa CDM arusha,je mimi kama raia wa tanzania mwenye itikadi tofauti na raisi wangu, naruhusiwa kwenda kwenye mikutano ya hadhara ya raisi JK nikiwa...
Baada ya wanaharakati kuianika serikali yetu ya CCM na Rais JK, tunawaomba wasemaji wakubwa wa CHAMA wanaomtukana Dr. Slaa kila siku kwa hoja za Kitoto, Nape, Lameck Mwigulu na Wassira wajibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.