Habari zinazoongoza gazeti la habari leo ni kwamba Zitto ndie mtanzania anayepewa nafasi kubwa zaidi kushinda urais 2015
Hili gazeti la wana CCM nimeshangaa kuandika habari hii ila nadhani...
Baada ya watu kumshutumu nape kwamba amekimbia maswali aliyo kuwa akiulizwa na wasikilizaji, sasa ameamua kurudi tena kumalizia kujibu maswali yaliyo baki.
Nape alisema hataki kuulizwa maswali...
Paka ukimpa samaki, hata mkavu, humla kuanzia kichwani. Jaribu uone anytime.
Jaji Waryoba anaongoza Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Ukubwa wa tatizo la Mungano wa Tanganyika na Zanzibar na ukubwa...
Mbunge wa Arusha mjini mhe godbless na mbunge wa ubungo Mnyika inasemekana wiki hii wataelekea mtwara kufanya mikutano kwa siku TANO.
Ziara hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa retreat ya wabunge...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi amelazimika kushuka jukwaani baada ya kuwaambia wana Mtwara kuwa gesi itatoka Mtwara.
Wana usalama wake iliwabidi wamshushe jukwaani nakuelekea ofisini kwao.
Umati wa...
Maalim Seif akutana na waandishi wahabari leo kutoa ufafanuzi juu ya utowaji wake wa maoni kwa katiba mpya aliotoa jana
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++...
THERE is an old adage which says; ‘Be careful of what you wish for, because you may get it' The Arusha District Commissioner, Mr John Mongella, who got posted here after the Arusha-Urban...
Tanzania tupo katika nchi za Africa mashariki na tupo kwenye ushindani wa kibiashara, kiuchumi na kijamii katika nchi hizi. Wenzetu, Kenya na Uganda wameweka milango wazi kwa watu wa Diaspora. Kwa...
- Mheshimiwa Mwenyekiti wa BAVICHA, majuzi umeongea kwa hasira wakati ukiwafukuza uanachama baadhi ya Vijana wadogo huko BAVICHA kwa madai kwamba ni Mamluki, je the facts kwamba wewe mwenyewe...
Vitendo vya wanafunzi wa chuo cha IFM wanaoishi katima hosteli huko Kigamboni, kuvamiwa mara kwa mara , kuibiwa na kufikia hatua ya kufanyiwa vitendo vya kinyama kama vile kubakwa , kulawitiwa...
HUU NDIO UKWELI KUHUSU KAMANDA MALISA NA CHADEMA
Katika siku za hivi karibuni kumetokea kundi la wanaCCM ambao wamekuwa wakijiita wanaCHADEMA na kutoa matamko ya kukitukana chama na viongozi...
Na Salma Said, ZANZIBAR
WAKATI mjadala juu ya Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika ukishika kasi na kuzusha mtazamo tofauti Kamati ya Pamoja ya kutatua kero za Muungano imefanya kikao chake...
Katiba ya CHADEMA inaruhusu kuanzisha tawi dogo la CHADEMA endapo wanachama wafikapo 30 watapatikana, katika JamiiForums naamini kuna wapenzi wa CHADEMA zaidi ya 30 hivyo tunaruhsiwa kuanzisha...
Akihojiwa na Star TV hivi karibuni katika kipindi cha Mcheza Kwao Dr. Dalali Kafumu amesema mahakama haikutengua ubunge wake kwa sababu ya rushwa au maneno yake katika kampeni za ubunge Igunga...
Wanachama wa CCM leo wamesahau Imani yao na Ahadi yao, je ni wanachama wote wamesahau na hawatii imani na ahadi yao au ni wanachama viongozi na wanachama wa kawaida bado wana itii Imani ya Chama...
Mwenye taarifa ya wapi mkuu wa mkoa wa Mtwara alipo atufahamishe.mkuu huyo alipewa siku 14 awe ameondoka mkoani hapa. Amri wa kuondoka alipewa na wananchi kutokana kauli ya matusi aliyoyatoa siku...
Wakati umefika wa kuweka tumbo nyuma na kuweka akili mbele na kujiuliza maswali yafuatayo
1) kwa nini sisi tumeendelea kuwa masikini japo tuna utajiri wa raslimali?
2) Ni vipi tutatweza kujikwamua...
13/01/2013
Nani anataka nini katika katiba mpya?
Haya ni maoni yaliyowasilishwa na Saed Kubenea wa MwanaHALISI; gazeti lililofungiwa na serikali kwa muda usiojulikana tangu 30 Julai 2012...
VS
Rose Asha Migiro na Halima Mdee nani zaidi
Tanzania kama kubahatika na kupendelewa tumefanikiwa lakini tumekuwa watu tusioweza kutumia vema nafasi tunazopata, pengine kutokuwa na utambuzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.