Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajameni ndo kusema watu wa kanda ya ziwa wanamthamini mtu huyu kwa nafasi ya juu kabisa (Urais) hata kabla ya uchaguzi 2015 ? Story nzima hapa chini, kazi twende! MSAFARA wa Waziri wa Ujenzi...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini-CHASO umetoa pongezi za dhati kwa Baraza la vijana la CHADEMA-BAVICHA kwa hatua yake ya kuwafukuza...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Mtu yeyote mwenye mang'amizi thabiti, akili tambuzi na muono wa uzalendo bila kujali itikadi za vyama atakubaliana na mimi kwamba siasa chafu za ccm za "centralization of power" ndizo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekumbana na mjadala mkali jana asubhi kwenye kahawa mtaani kwetu. Watu wanajadili makala ya Raia Mwema iliyohusisha Urais 2015 na vikao vya ndani vya Rais Kikwete Mkoani Tabora na kabla ya hapo...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Katika bunge la mwezi November mwaka jana kama sikosei,mh.Ole sendeka ulitoa ahadi ya kupeleka hoja binafsi bungeni ukitaka nyumba za serikali zilizouzwa zirudishwe.Mh.ulikwenda mbali zaidi na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo saa kumi na moja jioni katika kipindi cha HotMix, Tuna tarajia uwepo wa msemaji wa chadema Ndg Tumaini Makene . Kikubwa tutaangalia juu ya Mgogoro unaofukuta ndani ya BAVICHA pamoja na maoni...
8 Reactions
90 Replies
7K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiendesha Kikao cha Muungano, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MIUNDO MBINU Hivi kwa taabu zinazowapata wananchi wa mkoa wa Dar na kwingine Tanzania hakuna mwanasiasa mwenye akili japo ya kufikiria kidogo suluhisho la matatizo na akaungana na ndugu yetu...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Watanzania wenzangu naomba kama ndugu na bila mihemko,jazba,wala chuki tuweze kujadiliana kama kweli mfumo wa mahakama uliopo unaegemea upande wa dini moja hadi tufikie mahali serikali ilazimike...
3 Reactions
98 Replies
8K Views
Angalia Mzalendo huyu alivyoona mbali. Hii ilikuwa 1993. CCM inatekwa nyara!
0 Reactions
19 Replies
3K Views
wana JF nimejaribu kujiuliza mambo yafuatayo sijapata jibu sahihi naomba mawazo yenu. 1)serikali imeshusha standard ya ufaulu wanafunzi darasa la saba mwaka huu na kudanganya uma ufaulu...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
  • Closed
JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema askari anayedaiwa kuwa jeshi hilo aliyepiga picha na Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema ametoroka. Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Fuatilia mjadala channel 10... Jenerali Ulimwengu anawapa darasa Mawaziri wa CCM...Kuna wachangiaji wa Mtwara wameongea kwa uchungu sana, anasema wamekoseshwa elimu lakini mungu kawaona akawapa...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
MONDAY, JANUARY 14, 2013 JERRY SILAA AKIFUNGUA SEMINA YA SIKU MBILI YA VIONGOZI WA UVCCM MKOA WA MBEYA. KUSHOTO NI AMAN KAJUNA MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA MBEYA KATIBU WA CCM...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amewashambulia viongozi wa upinzani kwa kuchochea mgogoro wa Gesi katika mikoa ya kusini.Mbatia amesema viongozi hao si wazalendo na ni wababaishaji wakubwa.
0 Reactions
78 Replies
6K Views
Kumekuwa na uongo ambao Wananchi wa Watanzania wanaujua kwa sasa kwamba kisingizio kikubwa kwa kutokuwekeza sehemu za rasilimali ni "Kwa Mafanikio ya umma". Je Umma ni nani hasa kama sio...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Saturday, January 12, 2013 SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetahadharishwa isilete hoja ya nchi kutokuwa na dini katika katiba ya nchi kwani wazanzibari hawatakubali kupokonywa haki...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Inasema hivi: 19.(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, wa imani na wa uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa kubadilisha dini au imani yake. (2) Bila ya kuathiri sheria...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom