Mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika jana mjini Shinyanga kwenye kata ya Ndala na Masekelo uliwashambulia vijana ambao wana rubuniwa kwa shlilingi elfu tano na kuhamia CCM ilhali hapo mwanzo...
Picha huongea zaidi...
================
Moshi yawa kufuru.
Dr slaa ndio anahutubia na amewaomba ccm wenye hasira wachome kadi zao, watupe au waiweke Kama mjane.
Ameuliza wanao Kubali mabadiliko...
Watanzania wapenda mabadiliko Asalam aleikum!
Katibu wa Chadema jimbo la Karagwe mkoani Kagera, Bw Geofrey Nguma aliyekuwa amelazwa hospitali ya Nyakahanga wilayani humo mchana wa leo amekimbizwa...
Habari wanajamvi,
Nipo kwenye kikao cha kumbukumbu ya kifo cha Regia mtema, watu wamehudhuria wa kutosha, Sasa hivi ndio DAvid Kafulila ndo ameingia. Kwa upande wa pili ndo tumemaliza...
VIJANA wa Chama cha NCCR-Mageuzi, wametoa siku 90 kwa Waziri na Naibu mawaziri wa wizara ya Nishati na madini kujiudhuru vinginevyo watawashitaki kwa wananchi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
Familia ya mkenya, Paul Chuguna aliyeuwawa na polisi kwenye maandamano ya CHADEMA ya januari 5 2011 amewasili Arusha ili kufuatilia suala la fidia kufuatia mauaji ya kijana wao ambaye aliuwawa na...
How comes tunaambiwa kuwa Dar es Salaam inachangia 80% ya pato la taifa (rejea hotuba ya JK ya hivi karibuni), wakati hakuna shughuli za maana za kilimo zaidi ya mchicha na mbogamboga? Au kuwa...
Baada ya kundi la MASALIA kujibamiza kwenye ukuta kama hawana macho vile na kubaki wakiuguza majeraha yao wakiongozwa na Juliana, nafasi moja muhimu BAVICHA iko wazi ambayo ilikukwa inashikilia na...
Katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na itv leo tarehe 14.01.2013, waziri wa afya wa Zanzibar ameongea mengi, lakini linalostua ni hili la chama chao cha wananchi CUF, kuhusishwa na kundi la...
Kamanda Mawazo Alphonse awafunda wanachuo wanachama wa CHADEMA tawi la SAUT main campus Mwanza jana akiwa pamoja na Katibu Mwenezi wa Vijana (CHADEMA) Wilaya ya Magu kamanda Andrew Nkumbi. Katika...
natumai tu wazima na leo tunakutana tena katika jukwaa letu la siasa.. jamani mimi kwa leo nina machache ya kuongea kuhusu muelekeo wa nchi yetu na siasa za jukwaani hivi ni kweli viongozi wetu...
Waziri Simbachawene amezuiwa njiani na wananchi hapa Mtwara kwa kuwekewa mawe njiani na FFU wanakuja hapaAlipita Mtwara mjini kimya kimya kaenda sehemu inaitwa Msimbati akijua kuko shwari, watu...
Lilipoanza sakata la wananchi kupinga gesi kusafirishwa nilifikiri
Utatawala ukimya uleule wa kawaida unaowakuta watu wa
Lindi na Mtwara pale wanapolalamika kuhusu Kudhulumiwa
korosho zao kwa...
1. Kukumbatia Mafisadi na Wafanyabiashara ili hali wananchi wengi wapiga kura ni maskini wa kutupa.
2. Kuiacha Serikali kuendekeza vitendo vya Udini Bila kutafuta ufumbuzi wa Kudumu.
3...
Sad, a bunch of gorrilla deep in forest where they are found are managing their affairs much better than we do. Good governence has completely eluded us.
Recently, a young African man led a...
Wanasiasa wamekaa kimyaa… watendaji kimya… POLISI wako usingizini.
Kutokana na kile kilichotokea kwa wanachuo wa IFM waishio Kigamboni na yale yaliyokwisha kutokea wanachuo wa Mwalimu...
Katika hali inayoashiria kupimana ubavu katika jimbo la Mbeya Mjini ambalo mbunge wake ni Joseph Mbilinyi a.k.a. "SUGU" kupitia CHADEMA na Naibu Waziri wa Elimu, Philip Mulugo imezidi kupamba moto...
Viongozi Na wananchi wapenda Amani
Tumepokea Ujumbe na kwa sasa hatuna budi kuuita tetesi kwamba Kile kikao Cha Viongozi wa Juu wa Chama kilichopo madarakani pamoja Na Dola yenye dhamana ya...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeufananisha mwaka huu kama mtakatifu, kwa wanachama wake kujiandaa na chaguzi za mwaka 2014 na 2015.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.