Nakumbushia tu: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakumbushia tu: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Jun 27, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Katiba ya CHADEMA inaruhusu kuanzisha tawi dogo la CHADEMA endapo wanachama wafikapo 30 watapatikana, katika JamiiForums naamini kuna wapenzi wa CHADEMA zaidi ya 30 hivyo tunaruhsiwa kuanzisha tawi letu.

  Hivyo basi kwa wale waliopo tayari naomba waweke majina yao kwenye huu uzi ili nifanye mawasiliano tuweze kuanzisha tawi letu. Pia naomba mpendekeze tawi letu liitwe jina gani

  ifuatayo ni orodha ya wanachama ambao wameshajitokeza mpaka muda huu. usajili bado unaendelea

  1. lutayega
  2. Godwinnko
  3. eliceco
  4. hans79 ( ELIAS KOLIWAKA) email: j.hans79@yahoo.com
  5. Ukweli mtupu
  6. TUMBIRI ,(ametangaza na nia ya kugombea uenyekiti)
  7. kuku dume
  8. Mungi
  9. KALYOVATIPI
  10.@only83 (amependekeza jina la CHADEMA tawi la jamii forum)
  11. 1800
  12. Havizya
  13. Kabembe
  14. Bongolala -amependekeza jina la(J Bongolala-JF branch ) anagombea nafasi ya accountant
  15. STK ONE , (natangaza nia ya kugombea U - KATIBU MWENEZI)
  16. Salma2015
  17. Atabase Agaya.
  18. Tume ya katiba (anatangaza na nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa tawi
  19. ibange
  20. mahoza
  21.
  22. kajunju
  23. Sheshejr, (mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi)
  24. kingungwe
  25. Uncle Rukus
  26. 23.Sabung'ori Mang'ang'a(natangaza nia ya kugombea nafasi ya mtunza hazina wa tawi)
  27. maoniyangu
  28. Aaron 0768497592
  29. Han'some .(anapendekeza jina la hazina janani
  29. Mrdash1
  30. palalisote
  31. maoniyangu
  32. vaspanya
  33. GITWA
  34. kagame ( Jina la tawi napendekeza liitwe cdm great thinker branch)
  35.. Tangopori
  36. mbumbumbu intelligent(Mi ntagombea uratibu wa matukio kama kuna cheo hicho)Jina la tawi liwe CHADEMA MTANDAONI
  37. bibliography
  38. Gracious
  39. Libaba
  40. nyengo --(Atagombea-Msemaji mkuu wa Tawi)
  41. Ishina
  42. MAMMAMIA (Napendekeza jina Tawi liwe CDM@JF.co.tz )
  43. mwana fandey
  44. Saint Ivuga(nitagombea uenyekiti)
  45. frafajo
  46. Mbundenali
  47. dosama . (Naomba liitwe M4C Online)
  48. william bramwel
  49. Ritchie
  50. mfereji maringo
  51. Welu (mwanachama)
  52. Eraldius. Mwanachama. mtemab6@yahoo.com
  53. njiwa (Mkuu tume ya katiba)
  54. Micro E coli .nitagombea ujumbe wa tawi.
  55. ngoni85
  56. Mponjori (iitwe chadema tawi la jamiiforums!)
  57. Ziroseventytwo
  58. OMUSILANGA
  59. Mawaiba (Tawi: Chadema Jamvini.)
  60. Nairobifly
  61. Rasib
  62. ntamaholo
  63. hoyce
  64. Comi
  65. frema 120 najipendekeza kama mjumbe
  66. Apolonary (nitagombea nafasi ya kitibu wa propaganda.)
  67. shardcore
  68. Benaire (Jina.....JF M4C.)
  69. Dark City (CHADEMA ONLINE)
  70. mpenda pombe
  71. mnyazo
  71. mwenyenguvu
  72. CHIETH
  78. Mbilimbili.
  79. Mamndenyi . mjumbe kamati ya ufundi.
  80. KAMBAJECK . Natangaza kugombea UKATIBU
  81. Codon
  82. peoples power
  83. mareche natangaza kugombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi
  84. andrewk
  85. mareche natangaza kugombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi
  87. Swagatwende
  88. Prisoner 46664 hapo (nahitaji nafasi ya ukaguzi mkuu wa mahesabu ya tawi)....
  89. Kirode , mwanachama wa kawaida
  90. Mpangamji (membership jina laTawi liwe Chadema Online
  91. Dingswayo
  92. alfred Daud Pigangoma
  93. Navy SEAL
  94. Gagurito -Mkurugenzi wa Mambo ya Ndani na Propaganda wa Tawi.
  95. Mkono lubaza
  96. Dingswayo
  97. chante nitagombea katibu wa itikadi na uenezi wa tawi...
  98. Bobuk (mjumbe mkutano mkuu)
  99. @kodem (natangaza nia kugombea mwenyekiti msaidiz)
  100. Mamadou
  101. Ciril Kimat
  102. Ndakilawe ... Mnisajili kwa jina la EMMANUEL WILLBARD
  103. Mercyless: ephraimdaudi@yahoo.com(Jina la tawi: CDM JF BRANCH)
  104. pstar01884
  105. jackson kanene (nitagombea kuwa katibu mwenezi wa tawi'
  106. Bitende .nipeni cheo kama cha Rwakatare but mimi ntakuwa wa tawi

  UPDATES
  Mpaka muda huu kama mnavyoona hapo juu orodha inaruhu kuanzisha tawi ila tawi haliwezianzishwa bila uongozi, kwa kuzingatia demokrasia na kutokana na ushauri wa baadhi ya wanachama mi nitakuwa mwenyekiti wa muda, na wanachama wote waliokwishajisajili na wale wanaoendelea kujisajiri munaombwa kupendekeza majina ya watu watakao ingia kwenye kamati ya uchaguzi mwisho wa kupendekeza majina utatangazwa baadae, zoezi litakalofuata baada ya kupata majina nikuwapigia kura ili kupata tume huru ambayo itaendesha uchaguzi.
  Fomu za nafasi mbalimbali za uongozi wa tawi zitaanza kutolewa baada ya tume ya uchaguzi kupatikana, pia ratiba ya kampeni itatangazwa hapo baadae, ila kwa wenye nia ya kugombea mnaruhusiwa kuweka CV zenu. Asanteni


  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/269440-usajili-wa-wanachama-wa-tawi-jipya-la-chadema-online-7.html#post3943891
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kutokana na idadi hio kupita wanachama 30 hii itakuwa jimbo sasa, M4C kweli sasa ni kila mahali Duniani. Ila hofu yangu wote wanakadi za Uanachama hai wa CDM? kama huna kadi Ni uzalendo kumiliki Kadi hai ya CDM
   
 3. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  SWALI:Inawezekana mtu kuwa mwanachama wa CDM kwa matawi mawili tofauti? Nauliza hivi nikiwa na maana kwamba iwapo mtu ameshakuwa mwana chama wa CDM kwenye matawi ya mitaani anaruhusiwa kujiunga na CHADEMA online? :
   
 4. H

  Hodarism Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nami pia niwepo ila sitaki cheo chochote zaidi ya kuwa kada
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
   
 6. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
   
 7. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,475
  Likes Received: 2,143
  Trophy Points: 280
  Mkuu CV is very sensitive issue to be uploaded. This sysytem is not secured for CDM members, also some of this CDM members are public workers in high ranks, then it is not possible. Make another way around to make sure that make the high privacy to individuals.

  Thank u papa
   
 8. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  msinisahu nataka kuwepo kwenye jahazi la chadema kwenda ikulu!
   
 9. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Namba 18, kwa jina Tume ya Katiba ni Mamluki atawavuruga na kutoa siri zenu.
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Mkuu sisi hatuna makada, tuna makamanda.
   
 11. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jamani viongozi wa chadema inamaana hamjaona thread hii na ile ya kabla ya hii....
   
 13. emmanuel katamba

  emmanuel katamba Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weka jina-emmanuel katamba-pia tunaomba muweke nafasi za uongozi zinazogombewa ili tugombee!
   
 14. J

  JahGun Senior Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ingeza hapo JahGun
   
 15. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,560
  Likes Received: 16,530
  Trophy Points: 280
  Naomba weka jina la Tetty
   
 16. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nami napenda kuwa mmoja wa wasafiri katika merikebu ya haki
   
 17. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu weka jina la​ tanira1 kwenye orodha
   
 18. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu, weka jina la Manyi kwenye orodha (email ni, manyiri.manyi@gmail.com). Natangaza nia ya kugombea nafasi ya Mhasibu (Accountant) wa Tawi.
   
 19. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Na pia kwa sababu za Kiintelejinsia, naomba unitumie email katika manyiri.manyi@gmail.com ili nikutumie CV mkuu!
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  Mimi sina raha kabisa kwa ajili ya ULIMBOKA.
   
Loading...