Mkuu wa mkoa wa Mtwara yuko wapi?

Mkuu wa mkoa wa Mtwara yuko wapi?

Chasoda

Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
66
Reaction score
33
Mwenye taarifa ya wapi mkuu wa mkoa wa Mtwara alipo atufahamishe.mkuu huyo alipewa siku 14 awe ameondoka mkoani hapa. Amri wa kuondoka alipewa na wananchi kutokana kauli ya matusi aliyoyatoa siku ya maandamano.

Tokea alipopewa amri hiyo hajaonekana hadharani na mda alopewa umeisha
 
Huyu jamaa amejichimbia anasubiri upepo upite ili aendelee na ukada wake, kwani mmesahau kuwaa alipewa wadhifa huo kutokana na utiifu wake kwa chama na serikali yake? Anauhakika ffu wana mabomu ya kutosha.
Mwaka huu tutaona na kusikia mengi
 
Nakumbuka kama alikuwa ni Simbaulanga ehh?
 
Huyu jamaa amejichimbia anasubiri upepo upite ili aendelee na ukada wake, kwani mmesahau kuwaa alipewa wadhifa huo kutokana na utiifu wake kwa chama na serikali yake? Anauhakika ffu wana mabomu ya kutosha.
Mwaka huu tutaona na kusikia mengi
Ukada nomaa!!Huyu jamaa ni mstaafu wa JWTZ ila inaonekana aliteleza maana ni mtu mwadilifu sana nadhani hakutumia muda wake vizuri kufikiri kabla ya kutoa kauli...But nadhai atakua ameelewa tu kwamba gesi haitoki na ikitoka itaondoka na roho ya Ccm na viongozi wake
 
Labda sijaelewa, kama malengo ilikuwa ni asionekane Mtwara, sasa mbona mnamuulizia tena? Au kulikuwa na vitu vya kukabidhi hajakabidhi?
 
Bagamoyo kieneo chenye uislamu na udini uliokithiri, uchezaji ngoma na uduni wa elimu kwa miaka mingi ambacho kwa makosa makubwa ya magamba kametoa mtu fulani ambaye na yeye kwa kiwango kilekile cha uelewa amewajaza ndugu zake pale kwenye chama kama afanyavyo kwenye kugawa vyeo vya uwaziri na ukuu wa wilaya kwa kuzingatia dini za watu na jinsia na kupendelea dini yake..Leo anafanya kila awezalo kutajirisha bagamoyo kwa migongo ya watanzania wengine walojinyima na kuvuja jasho...Gesi bagamoyo,Bandari nzuri Bagamoyo,Bomba kubwa la maji tena kisasa Bagamoyo, Vyuo kama IFM na vingine vinaelekezwa bagamoyo as if Tanzania nzima imeishia bagamoyo!!!Gesi haijaanza kuchimbwa ameshapokea mlungula na kuurundika uswisi ili ikifika bagamoyo aweze kuiuza atakavyo maisha yake yotee!!!Hii haikubaliki ..Watu wa mtwara kufeni au ueni gesi istoke mtwara
 
Back
Top Bottom