JK awalaani waislamu wa MALI wenye itikadi kali

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
Akiwa mbele ya mwenyeji wake pres.Olande'wa ufaransa, JK ametamka waziwazi kuwa ni mwafaka kwa Ufaransa kuingilia kisiasa nchini MALI,Huku akiwalaani kwa kitendo cha mwavuli wa uislamu wa kigaidi haukubaliki.

HEKO JK!

Source: BBC
 
Published on 21 Jan 2013President Hollande is meeting with his Tanzanian counterpart, Jakaya Kikwete, to discuss the French military campaign in Mali. President Hollande said that efforts must continue to oust the Islamist rebels and that Ecowas troops should take the lead, although he warned that the operation could take some time.

President Kikwetes expressed his support for the intervention and called for the international community to respond to what he described as 'a global issue'.

Last edited by a moderator:
udini ameutumia sana kikwetea na ndiyo uliomwingiza madarakani leo ana ulaani uislam ama kweli kikwete mnafiki..
 
Napitia blogu ya Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania juu ya ziara ya Mh. Rais J.M Kikwete nchini Ufaransa naona hakuna muhtasari wa matamko labda wameamua kukaa kimya kuna picha za mapokezi ya Rais na picha za 'mazungumzo' bila matamko ya hitimisho la yaliyozumguzwa. Je kimya hiki ni ukosefu wa sera madhubuti za mahusiano ya kimataifa na baina ya Tanzania na nchi zingine?
Source: http://foreigntanzania.blogspot.co.uk/2013/01/rais-kikwete-ziarani-ufaransa-aambatana.html
 
udini ameutumia sana kikwetea na ndiyo uliomwingiza madarakani leo ana ulaani uislam ama kweli kikwete mnafiki..
Nakuunga mkono JK ila inakuwaje unawabeba waislamu kiasi hiki hapa Tanzania?Na kwanini ulipandikiza udini ktk nchi hii?Yes ni kweli kwamba magaidi wa Mali lazima waondoshwe lkn magaidi Shehe Ilunga na wale wa Redio Imaan na shehe ponda Wanafurahia maisha ya uchochezi na ndio magaidi wabaya kabisa hapa Tanzania?
 
Inasikitisha kuona Rais wetu aanatumika kama daraja la kuuangamiza UISLAMU nchini Mali. Nawamemshawishi makusudi sababu na yeye ni wadini hiyo. Sitashangaa nikisikia pia wanajeshi wetu wamekwenda kwenye hiyo operation tusiyoijua undani wake.
 
Waisilamu ni tatizo. Tia risasi takataka iyo inayoharibu hali ya amani, hata mimi natoa wito jumuiya ya kimataifa iingilie kati
 
There is an old adage which goes like this CHARITY BEGINS AT HOME. If the Honorauble President Kikwete means what he said, he should start at home by dealing with these muslim radical clericks Sheikh Ilunga, Ponda, UAMUSHO (Sheikh Farid) radio Iman to mention the few. The Honarauble President should walks the talks.
 
Inasikitisha kuona Rais wetu aanatumika kama daraja la kuuangamiza UISLAMU nchini Mali. Nawamemshawishi makusudi sababu na yeye ni wadini hiyo. Sitashangaa nikisikia pia wanajeshi wetu wamekwenda kwenye hiyo operation tusiyoijua undani wake.
Wewe ndo hujui operation hiyo inhusu nini maana unaamini kwamba waislamu kuua watu ni jambo ulilofundishwa na Allah..Hata kama waislamu wakibaka watu wewe kwako ni jambo la ibada ndo maana hata huko hujui Al caeda wanaua watu na watu wanaangamia bila kujali ni waislamu au wakristo..Kwa taarifa yako Mali kuna waislamu wengi kuliko ninyi huku mnaomwabudu Ponda na ndio walioomba msaada wa wafaransa nenda kajifungo uhalifu wa Imani yako unaifanywa na mnaowaita waislamu safi
 
Published on 21 Jan 2013President Hollande is meeting with his Tanzanian counterpart, Jakaya Kikwete, to discuss the French military campaign in Mali. President Hollande said that efforts must continue to oust the Islamist rebels and that Ecowas troops should take the lead, although he warned that the operation could take some time.

President Kikwetes expressed his support for the intervention and called for the international community to respond to what he described as 'a global issue'.

katika uislam hakuna muislam siasa kali. kuna wanafiki na mujaheedina(Kwa sasa ndio wanaitwa siasa kali) Sijui JK yupo kundi gani?
 
Last edited by a moderator:
Jana niliona alijazeera wanawaita hao wa Mali. "Islamic Terrorists"
Heko france tia bom bom
 
udini ameutumia sana kikwetea na ndiyo uliomwingiza madarakani leo ana ulaani uislam ama kweli kikwete mnafiki..

Mkuu wacha kubadilisha maana! Hajalaani uislam, amelaani wanaofanya ugaidi kwa jina la uislam. Kuna tofauti hapo.
 
Wewe ndo hujui operation hiyo inhusu nini maana unaamini kwamba waislamu kuua watu ni jambo ulilofundishwa na Allah..Hata kama waislamu wakibaka watu wewe kwako ni jambo la ibada ndo maana hata huko hujui Al caeda wanaua watu na watu wanaangamia bila kujali ni waislamu au wakristo..Kwa taarifa yako Mali kuna waislamu wengi kuliko ninyi huku mnaomwabudu Ponda na ndio walioomba msaada wa wafaransa nenda kajifungo uhalifu wa Imani yako unaifanywa na mnaowaita waislamu safi

Hembu karejee maandiko yetu matakatifu yanavyotuagiza. Basi JK akabatizwe tujue moja na atuachie imani yetu. Hakuna double standards kwenye uislamu wetu. Kama ni wingi hata Zanzibar kuna waislam wengi vilevile lakini wanalalamika mfumo kristo wa JK.
 
Waislamu wote ni magaidi.."Bush"
mbona hata bush ana marafiki waisilam? Na marekani ina uhusiano mzuri na nchi za kiisilam, naamini hata wewe una marafiki wazuri tu wakiislam? Sema kitu kimoja ueleweke kuwa shetani kawateka baadhi ya waisilam na ndio hao wanaoiyumbisha dunia kwa sasa
 
JK mnafiki, hapa Tanzania ameshindwa kumaliza Magaidi yanayoripua Makanisa na Kupiga Padre risasi ataweza huko MALI? unafiki mtupu
 
Back
Top Bottom