Safi! Mbunge wa Kigamboni - (CCM) kesha kinukisha!

MAMC

Senior Member
Jan 3, 2012
139
66
Pamoja na mambo mengine. Kapinga bajeti ya w/ardhi, ahoji kwa nini serikali inang'an'gania kuendeleza k'mboni kwa kuwahamisha watu ambao washajenga! Kwani wao hawastahili kukaa mahali pazuri? Au maeneo ya kuendeleza yameisha?
 
Wanafiki tu! Wakianza kuitwa m1 m1 wanasema ndiiiyoooooo!
 
Napinga wananchi wangu wa Kigamboni kuhamishwa kwa ajili ya mji mpya.. lakini naunga mkono hoja. Style ya wabunge wa CCM.
 
Hana lolote hyo ameona amekosa unaibu waziri wa afya ss ameamua afunguke, kimsingi amegundua kuwa 2015 hana chake. Kuna tetesi kuwa Mpoki wa Ze Comedy anataka kugombea dhidi yake kupitia CCM.Na akibanwa baadae ataunga mkono hoja, hata kutetea madaktari wenzake ameshindwa. Shame on u NDUGULILE!!!!
 
Pamoja na mambo mengine. Kapinga bajeti ya w/ardhi, ahoji kwa nini serikali inang'an'gania kuendeleza k'mboni kwa kuwahamisha watu ambao washajenga! Kwani wao hawastahili kukaa mahali pazuri? Au maeneo ya kuendeleza yameisha?

Kitakachomuangusha ama kumuimarisha Ndungulile ni huo mpango wa kigamboni city. Itategemea ataichezaje karata yake.
 
Fisadi tu huyo ashawahi kuaact kama head wa idara ya diagnostics , alikimbia baada ya ishu zake kufika takukuru kuhusu vipimo vya HIV ile vita kati ya Mkorea na Wadosi alitimua kwa kutoa notisi ya kuacha kazi 24hrs
 
Pamoja na mambo mengine. Kapinga bajeti ya w/ardhi, ahoji kwa nini serikali inang'an'gania kuendeleza k'mboni kwa kuwahamisha watu ambao washajenga! Kwani wao hawastahili kukaa mahali pazuri? Au maeneo ya kuendeleza yameisha?

***** huooo tu ..pumba ...utafikiri hakusoma....
 
Faustine, Mpoki anachukua jimbo hilo 2015 si umeona ashachukua nyumba huko kibada block 20 we ng'aa sharubu tuuuuu.
 
Nani atampa mpoki kura labda ccm yani yule kichwa maji awe mbunge hivi nyie mna akili timamu siajabu hata yule mganga wa korogwe ni ccm.ila its adream asipoteze hela zake .
 
Hana lolote hyo ameona amekosa unaibu waziri wa afya ss ameamua afunguke, kimsingi amegundua kuwa 2015 hana chake. Kuna tetesi kuwa Mpoki wa Ze Comedy anataka kugombea dhidi yake kupitia CCM.Na akibanwa baadae ataunga mkono hoja, hata kutetea madaktari wenzake ameshindwa. Shame on u NDUGULILE!!!!

Asee Mpoki anataka kugombea ubunge?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom