source: Star Tv saa 2 usiku huu.
dada machachali Pereso na anayesemekana kuwa karibu na Dk. Slaa amejiuzulu udiwani wa viti maalum karatu kwa mujibu wa kituo hicho cha TV.
kajivua udiwani wa...
My take:
I believe that conflict and protest are part of healthy society and does not create an abyss if the said conflict are well handled.
Wednesday, 23 January 2013
Arumeru East MP Joshua...
Ukweli usiopingika ni kwamba kwa sasa ramli toka CCM zinadai chadema itakufa kabla ya 2015. Na sababu ya kifo ni migogoro,ukanda na ukabila.. Kwa mtazamo chama ambacho kinategemewa kutake over ni...
Wana JF. Mda huu NDG Edo Makata Mwamalala ambaye alipa kuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mby siku za nyuma na kufukuzwa uongozi pamoja na uanachama mkoani kwake ameongea na vyombo vya habari...
Hatimaye Serikali yakiri kuidanganya IMF kwa kulazimisha kukopa kutoka EXIM Bank China fedha za kujengea bomba lenye utata la kusafirishia Gesi ya Mtwara na Lindi hadi DSM. Katika barua yake ya...
Wanajamvi heshima mbele..Kwa muda sasa masikio yetu yamekuwa yakisikia mambo mengi sana kuhusiana na sakata la gesi ya Mtwara. Serikali ambayo ndiyo yenye jukumu kubwa la kuteleza mipango yote ya...
LICHA ya tambo za kuwaondoa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) baadhi ya vigogo wa chama hicho wenye tuhuma za ufisadi kwa kutumia falsafa ya kujivua gamba, Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC)...
hii habari iwafikie wanaCHADEMA wote na uongozi wao ili wachukue hatua
kambi ya Nape akiwemo yule mzee aliyebadili dini siku za karibuni Membe na ikiwamo familiya ya Jakaya hasa mke wake...
Wana JF:
Kuna taarifa zinasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa mdahalo uliokuwa ufanyike leo pale Chuo cha SAUT Mtwara, umepigwa STOP na Polisi wa Mkoa huo.
Mdahalo huo uliandaliwa na...
Watawala waliopo na watoto wa watawala, mafisadi na watoto wa mafisadi ambao wanalindwa na watawala waliopo nchini wanatakiwa wasome alama za nyakati. Watu wanazaliana na wanaongezeka. Tabaka la...
Wabunge Wiliams[Wiliam Mwamgimwa na Wiliam Mwalukuvi] ni wasanii sana. Kwa mfano mwaka 2010 nilibahatika kuhudhuria kampeni za CCM pale wasa, cha ajabu nikamsikia Mwalukuvi anawaambia wana wasa...
Je Watanzania tunahitaji na tuko tayari kwa mabadilia Tanzania??
Na je nini plan zetu za kuanzia na ikiwa zitashindwa 2015 katika kisanduku cha kura je ndio kujiridhisha kama nyuma kuwa tusubiri...
Dkt. Massawe: Upembuzi yakinifu finyu, Upendeleo huenda ni sababu ya uamuzi tata wa kujenga bomba la gesi ya Mtwara-Dar es Salaam
Mgogoro kama huu wa wanamtwara kutoridhika na gesi ya Mtwara...
Dkt. Massawe: Upembuzi yakinifu finyu, Upendeleo huenda ni sababu ya uamuzi tata wa kujenga bomba la gesi ya Mtwara-Dar es Salaam
Mgogoro kama huu wa wanamtwara kutoridhika na gesi ya Mtwara...
Vurugu kubwa inaendelea muda huu kati ya polisi na wenye boda boda, milio ya mabomu na risasi zinzsikika muda huu eneo la Makongoro Mission jijini Mwanza.. Sababu halisi bado hazijaeleweka!
Hivi karibuni wakati anaongea ktk kongamano la wanafunzi wa Elimu ya juu, Moja ya mambo ya msingi aliyoyazungumzia ni Msimamo wake kuhusu Yeye kugombea Urais 2015.
Alisema tangu kumalizika kwa...
Katika ziara hiyo, Galawa alisema serikali imesisitiza kwamba hairuhusu mtu yeyote kuhamia katika eneo hilo kwa nia ya kutaka kupewa ardhi, kuvuna mazao ya misitu, kuchoma moto nakukata miti...
salmin Amour Juma: Aliwawahi kusema wazi kwamba Hakuna babu wa taifa au baba wa taifa. Maamuzi yao yataishia Chumbe tu
Aboud Jumbe Mwinyi: Kangolewa baada ya kutaka Zanzibar huru
Karume: Anaitwa...
SAKATA la Halmashauri ya Jiji la Mwanza kutapeli Sh1.6 bilioni za Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeingia sura mpya baada ya Mbunge wa Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde kulifikisha...
Katika taifa kuwa na mawazo yanayotofautiana ni jambo jema na likitumiwa vizuri linaleta tija. Waungwana na watu wenye upeo mpana wanathamini sana mawazo yanayo kinzana maana hapo ndio unapoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.