Leo Naibu Waziri wa Uchukuzi alifika Moshi na kuongozana na Mhe. Ndesamburo (MB) Moshi Mjini kukagua hali ya uwanja wa ndege wa Moshi kujionea wenyewe namna uwanja huo ulivyo katika hali mbaya...
Sidhani kama ni jambo la busara sana kumvunjia heshima rais JK hadharan na kumwita majina ya ajabu
Kila mamlaka iliyowekwa imewekwa kwa makusudi ya Mungu hivyo kutoitii ni km kutomtii Mungu...
SALAAM WANACHAMA WA JAMII FORUMS: Leo asubuhi saa 12.00 nimeisikia habari kutoka BBC idhaa ya Kiswahili wakizungumzia juu ya kupigwa mnada kwa mali za aliyekuwa Rais wa Vijana wa chama tawala...
Niseme tu ukweli kuwa nimefurahishwa na mashinikizo wanayotoa viongozi wa CHADEMA kwa serikali kuchukua hatua kutokana na matokeo mabaya kidato cha nne ya mwaka 2012. Lakini kinachonisikitisha ni...
Taarifa zilizoenea hapa Goba na vitongoji vyake ni kwamba makamanda wa Chadema [Tundu Lissu,Lema,Mnyika n.k] wata
washa moto mkubwa hapa Goba.
Kwaniaba ya wana Goba tunaomba kupata ukweli wa...
Mod naomba huu uzi msiuhamishe wala kunganisha na nyuzi nyingine,
Ni wazi kuwa kila mtu ameona kusikitishwa na matokeo ya kidato cha nne, serikali kupitia waziri wamejitokeza kutaka kujivua...
Leo ndo mazishi ya Padri Evaristus Mushi aliyepigwa risasi akiwa katika utekelezaji wa majukumu yake na hivi sasa ndo kuaga na kufanya misa ya marehemu. Watu wengi mno na viongozi wa...
Mh Rais , Taifa linahitaji tiba . Godbless Lema
Mh Rais , nakusalimu .
Mh Rais na huu ni ushauri wangu kwako kama Mkuu wa Nchi na mtazamo wangu juu ya matukio yanayotokana na changamoto...
Jeshi la Polisi nchini, limejiweka njia panda, kufuatia taarifa yake kwa vyombo vya habari kukanusha habari iliyoandikwa na gazeti la Mtanzania toleo namba 7235 la Alhamisi 21.02.2013, yenye...
Mauaji yaliyotokea Zanzibar yalitushitua wengi ila kilichotushitua zaidi ni pale tulipotangaziwa kuwa itabidi hata mashirika ya nje yahusishwe kwenye uchunguzi.Kwanini lakini kikwete na serikali...
Habari zenu wanajf:
Walikwepa sana kujitokeza kuzungumzia sakata la Kukiuzia chama magari chakavu(Fuso).Leo naomba Mbowe na Dr.slaa wajibu kwanini wameidhinisha kununua magari ya chama kwa bei...
Na Mwandishi wetu|21st February 2013
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, amesema kuwa aliomba mapema kutoendelea na wadhifa wa uenyekiti wa Baraza la Wadhamini la Umoja wa...
LONDON, Feb 21 (IFR) - The United Republic of Tanzania has hired Standard Bank for a private placement of floating rate notes, according to market sources.
The unrated sovereign is testing...
Mnamo tarehe 22/2/20 13 Jmosi Makamanda (F. Mbowe, Z. Kabwe, S. Arfi, S. Sungura, M. Said, A. Malack nk) watalitikisa mji wa Tabora ktk uzinduzi wa M4C Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora, Katavi...
Wanabodi,
Hatimaye wananchi wa Kimara wanaandamana kuelekea ofisi za Dawasco wilaya ya Kimara kudai maji.
Wananchi hao ambao wengi wao ni akina mama huku wakiwa wamebeba ndoo tupu na mabango ya...
Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya...
Baada ya kuitangaza kamati kuu ya CCM,Kikwete na halimashauri na kamati kuu yake wamejitia aibu.
1.Ni kweli vijana waliofukuzwa CHADEMA wana umuhimu katika kikao chao?
2. Nape kujisifia kwa...
ndugu wana janvi naomba tuendeleze mjadala mpana wa elimu maana bila kufanya hivyo tutaruhusu siasa kuua nchi hii, ndiyo maana naweka katika jukwaala siasa ili kupata mtazamo mpana zaidi ya ule wa...
Hivi mtu mwenye akili timamu anawezaje kuipa barabara jina la Mwahi kibaki? Jamani hii nchi inaelekea wapi wandugu zangu. Hii imeshatokea. Nawaomba watanzania wenzangu waendelee kuliita hii...
MODS: Inawezekana kwamba hapa si mahala pa waraka huu, kutokana na maudhui yake. Lakini ukiangalia kwa undani, HAPA ndio mahala pake! Nawasilisha!
Ndugu Zangu Watanzania!
Nakuja kwenu leo nikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.