Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ziliamua kufuata mfumo wa siasa za vyama vingi katika kulekea kukuza demokrasia.Lakini Tanzania haikuwa tayari japokuwa kukubali kwake kulitokana hasa na...
Athari ya haraka kabisa ya matokeo mabaya ya kidato cha nne mwaka huu ni shule na vyuo kuanza kukosa wanafunzi wa kudahili. Nifuatilie kwenye makala hii (imeambatanishwa).
Kama ilivyotarajiwa...
Kila wakati wananchi wakihoji jambo wanaambiwa kuwa wanafanya hivyo kujitafutia mtaji wa kisiasa. Tunaambiwa kwamba ni mkakati na mbinu maalum tulizozipanga ili kufikia malengo yetu ya kisiasa...
Wednesday, February 20, 2013
Mpelelezi wa Jeshi la Polisi, Stesheni Sajenti Juma, ameiambia mahakama kuwa alielezwa na Sheikh Ponda Issa Ponda, kuwa yeye (Sheikh Ponda) ni mhusika katika watu...
NIMEONA NIWEKE TENA UZI HUU BILA KUONGEZA: YAFUATAYO NILIANDIKA MARA BAADA YA VURUGU ZA MBAGALA.
Kitendo cha mtoto wa miaka 14 kukojolea kitabu cha kurani hakiwezi kuungwa mkono na mtu yeyote.-...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepokea silaha mbalimbali yakiwamo mapanga, visu, majembe, sufuria, makoleo na sufuria kama kilelezo katika kesi inayomkabili Sheikh Ponda...
Serikali imegoma kuonyesha Mitaala ya Elimu hapa nchini, mitaala hiyo iliombwa tangu bunge lililopita na serikali iliahidi kuileta bungeni lakini baada ya Mh. James Mbatia kuombwa ahitimishe...
Kigoma mjini ni miongoni mwa majimbo machache sana yalio chini ya CCM katika majimbo yote mkoani Kigoma. Jimbo hili liko chini ya Peter Serukamba tangu mwaka 2005-2010, 2010-2015.
Kwa hakika...
Kwanini tunatafunatafuna maneno jamani wakati kuna watu wengi wanasema songas ndio wanaosabotage bomba la gas kuja dsm kwasababu ya bifu lao?
inasemekana Songas walishawahi kuombwa kujenga bomba...
KAMA TUMEAMUA KUWA WADINI TUSIISHIE NJIANI –TWENDE HADI MWISHO Na. M. M. Mwanakijiji
Hatujali tena kama sisi sote ni Watanzania. Hatujali tena kuwa kama taifa moja hatima yetu ni moja...
Naibu Speaker wa bunge la Tanzania Job Ndugai amelilipukia bunge kutetea kwamba uheshimiwa ni cheo aliposema: "Cheo cha uheshimiwa lazima kiendane na ustaarabu katika kuzungumza." Tumesikia katika...
kufuatia kile kinachoitwa elimu ya uraia kwa wananchi, imethibitika kuwa wana mtwara vijijni ni miongoni mwa maeneo yenye uelewa mdogo juu ya siasa za vyama vingi na CCM ni ngazi yao kupandia ikulu.
Ndg makamanda,
Baada ya shirika la kijasusi la FBI kutua nchini habari ambazo zimepatikana kutoka katika kipindi cha redio ya STANDARD RADIO ilioko mkoani Singida ni kuwa BAVICHA mkoa wa Singida...
Ndugu wana JF,
Nimekuwa nikifuatilia hoja ya Kigwangalah kuhusu mfuko wa ajira /kuwawezesha vijana kwa umakini. Hoja yake haina maslahi kwa taifa kama ambavyo wengi walishachangia, ingawa kwa...
BAADA YA HOJA BINAFSI NA KUSUDIO LA MAANDAMANO; WAZIRI WA MAJI NA MKUU WA WILAYA WAENDA GOBA NA MAENEO MENGINE KUFUATILIA MIRADI YA MAJI
Posted: 19 Feb 2013 01:49 AM PST
Nitafuatilia ahadi...
Wadau mie nataka kugombea ubunge katika jimbo la Kalambo maana mbuge aliyeko sasa hajui anachotakiwa kufanya kwa wananchi wake. Ndugu zangu wananchi hawahitaji kupewa pesa, wanachohitaji...
Chini ya uongozi wa diwani Sudi Ntanyagala, CHADEMA imefanya mkutano mkubwa kuzungumia jinsi raslimali za taifa zinavyoporwa chini ya uongoz mbovu wa CCM.
Pia wanawake waweshauriwa kuihama CCM...
Mjadala huu upo hapa bila kuchakachuliwa, Mods nisaidieni kuuweka ipasavyo kwa watanzania.
http://www.policyforum-tz.org/sites/default/files/PFBDreportJanuary2013.pdf
Ni miaka 17 sasa tangu Kapuya awe mbunge lakini hakuna cha maana alichofanya.
Mpaka sasa hakuna maji, huduma za afya mbovu, elimu chini, umaskini wa wakulima wa tumbaku unazidi mara dufu. Wakati...
Katika hali isiyo ya kawaida, vijana wengi hasa madereva wa bodaboda wanakamtwa Mkoani Lindi kwa sababu zisizofahamika. Na wanapopelekwa mahabusu, wengi wanahojiwa ikiwa ni wanachama wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.