Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sina Imani na serikali ya nchi yangu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sina imani na Jakaya Kikwete, Mizengo Pinda, Shein na watendaji wote wakuu wa serikali. Sina imani kwa sababu siiamini, na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
DR. SLAA AMECHANGANYIKIWA: Nape Adai amekubuhu kwa utapeli wa kisiasa Amtuhumu kuiua...
4 Reactions
149 Replies
13K Views
Sisi vitendo wao maneno. Hatimaye barabara ya Kiomboi-Kisiriri- Kidaru hadi Chemichemi yaanza kupasuliwa. Naishukuru serikali kwa kunielewa na kusikia kilio cha wanakidaru ambao walikuwa hawana...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Maandalizi ya M4C Kanda ya Magharibi (Tabora, Kigoma na Rukwa) yaiva kwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora Ndugu Kansa Mbaruku kuwaita wawakilishi wa BAVICHA na wazee kupanga namna ya...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Pamoja na mambo mengine yanayoendelea Mkoani Arusha kuna mapya yanayoendelea juu ya anayeamika Mkoani hapa kuwa Katibu wa anayedhaniwa kuwa Mbunge wa Vijana Mkoani hapa Bi. Catherine Magige ambaye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wanaokumbuka vizuri, mambo yalianza kuonekana katika matokeo ya darasa la saba.... Yakaenda hadi kidato cha pili.... Sasa yamefikia kidato cha nne na tusubirieni kidato cha sita. Ni vyema...
22 Reactions
131 Replies
11K Views
Watanzania Wezangu Vijana wa ccm wamaishiwa na sera walianza na sera ya ukabila wakaja udini zote hizi zimeshindwa kuinusuru ccm badala yake zimekuwa laana kwao Sasa leo Nape Moses Nnauye...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
sasa nimekubali kuwa chadema kinawafundisha kazi ccmkila kukicha ccm wanaiga mbinu za chadema hili la sumbawanga ni mfano mwingine,m4c walianzia jangwani ccm ikafuata sasa operesheni hakuna kulala...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
people attending chadema meeting at kisoria. makamanda wamesema mabadiliko ni lazima 2015...
1 Reactions
60 Replies
10K Views
Sasa hivi hali imekuwa mbaya sana kuhusiana na chuki hizi kati yetu....chuki zinazolenga kutuganwa (wakristo na waislamu) utafikiri ndio dini pekee za watanzania. Je wahindu, wabuddha, waaminio...
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Haya tena wanajamvi! Taarifa nilizo nazo ni kwamba maandamano makubwa yamekamilika na sasa wale wote walioko kule kwenye eneo la tukio basi watuletee LIVE matukio yote yanayotokea huko. Tafadhali...
104 Reactions
858 Replies
71K Views
Baada ya Katibu ya CCM Mkoa wa Arusha kushindwa kufoji muhtasari wa kikao cha Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Mkoa kama alivyoelekezwa sasa rungu linalosemwa la "Mangula" limeanza kupita...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mjumbe wa kamati kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa Jerry Silaa akisindikizwa Jukwaani kwa staili ya aina yake ya kufagiliwa njia na WanaCCM waliokuwa wakibiringika mpaka kwenye ngazi za jukwaa...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Inanishangaza sana mbunge wa Tunduru bwana Mtutura anasimama bungeni na kudai udhibiti wa bahari uimarishwe imenishangaza sana yani ye badala ya kulalamika ujenzi wa Nyamwage uimarishwe ye anadai...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nilikuwa mmoja wa wahudhuriaji wa safari ya mwisho ya Pd.Evarist Mushi,nilisafiri mapema kwenda Z'bar ili kuwahi tendo hilo la kukumbukwa. Nimefanya kazi na Fr.Mushi akiwa kama Paroko...
16 Reactions
115 Replies
9K Views
Askofu awden Mdegela Wa KKT IRINGA ameyaandikia madhehebu yote ya kikristo kuwaomba waunganishe nguvu na kuombea amani ya nchi. Hiki ni kipindi kigumu kwa wakristo. Ni kipindi kinachohitaji umoja...
6 Reactions
71 Replies
6K Views
The current on going conflicts between Muslims and Christians in Tanzania doesn't surprise keen Social Scientists ,The Liberal policies which has been pursued in the Country since 1985 have...
1 Reactions
1 Replies
857 Views
Inakera sana kusoma post za viongozi wetu ambazo hazina maana mitandaoni.Tambueni kwamba mitandaoni mnako-post upuuzi,wananchi mnaotuongoza tunasoma na kutafakari.Kwanini dhana ya uadilifu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaleo ni magumu heri ya jana ya kesho ndio balaa kabisa.Ukweli nikwamba ccm yazidi kutukandamiza wananchi wake na hili limepuuziwa sana lakini huko tuendako uvumilivu wetu wa TANZANIA unakwenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Angalia na kusikiliza....
22 Reactions
188 Replies
19K Views
Back
Top Bottom