CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
2,650
Reaction score
6,088
Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo mchana.

M/kiti wa Chadema, F. Mbowe amempa wiki mbili Waziri wa Elimu, Kawambwa awe amejiuzulu, la sivyo maandamano ya kufa mtu!

attachment.php

M/kiti taifa (CHADEMA) akiwasili pamoja na viongozi wengine.

attachment.php

attachment.php

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutanao

attachment.php

attachment.php

Chini ni Alphonce Mawazo maarufu kama 'Kamanda Mawazo'
attachment.php
 
Attachments

  • 3.jpg
    3.jpg
    20.2 KB · Views: 1,698
  • 5.jpg
    5.jpg
    45.3 KB · Views: 701
  • 1.jpg
    1.jpg
    64.4 KB · Views: 1,764
  • 4.jpg
    4.jpg
    25.1 KB · Views: 1,742
  • 2.jpg
    2.jpg
    26.5 KB · Views: 10,395
  • cdm-2013-1.jpg
    cdm-2013-1.jpg
    64.1 KB · Views: 9,917
  • mawazo.JPG
    mawazo.JPG
    81.6 KB · Views: 10,184
  • umati-mwanza.JPG
    umati-mwanza.JPG
    106.5 KB · Views: 13,493
  • mbowe-freeman-mwanza.JPG
    mbowe-freeman-mwanza.JPG
    102.5 KB · Views: 13,493
  • umati-mwanza-2.JPG
    umati-mwanza-2.JPG
    82.8 KB · Views: 9,236
Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo mchana.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1361281298.318422.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361281298.318422.jpg
    188.1 KB · Views: 512
  • ImageUploadedByJamiiForums1361281346.433157.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361281346.433157.jpg
    15.2 KB · Views: 561
  • ImageUploadedByJamiiForums1361281370.061208.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1361281370.061208.jpg
    17.3 KB · Views: 546
M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameweka rekod nyingne mpya baada ya mkutano wake hapa uwanja wa Furahisha jijin Mwanza
 
Mh msijemkawa mmetuchakachulia zile za uchaguzi!
Haya waambieni hao watu wenu wajiandikishe na wakawahubirie wazazi wao mabadiliko ili 2015 muibuke kidedea!
 
Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo mchana.

Duh! Juliana She.nzi aje ashuhudie ili nyomi alafu aende kwa Vuvu waendelee na propaganda yao Mfu kwamba CDM ni chama cha kaskazini. Baba yao alishaumbuka na ili propaganda yake ya Ki-Mwa'sha kwamba ni chama cha msimu sasa yamebaki haya maboya mawili. Badala ya kuangalia mambo ya maana ya kwanini Division 0 zinafika 60% wao wanaendelea na uzuzu wao tu. Wamejaza mitakataka tu kichwani.
 
Back
Top Bottom