Kwanza salamu, pia niwatakie heri ya Christmas na mwaka mpya.
Hoja ya msingi ni MALIPO YA LEMA YANAONYESHA UDHAIFU WA MFUMO WETU.
Lema atalipwa milion 85 Tsh/= kama malimbikizo kwa kusimamishwa...
Heri ya mwaka mpya wanaJF
Kwa muda sasa tumekuwa tukisikia/shuhudi matukio ya ajabu ajabu yanayohusu ulinzi wa mipaka yetu, lakini cha ajabu ni kwamba JWTZ mara zote wamekuwa wakimya na hakuna...
Anayetakiwa kujiudhuru ni RAIS WETU wala sio waziri Kawambwa "Asiyetaka kufanya kazi kwa mshahara huu wa ualimu aache kazi"
Hii ni moja ya kauli aliyowahi kuitoa...
Majina ya Obama,raisi Kikwete na Ridhiwani yatumika kutapeli watu mamilioni ya fedha kwa kutmia kampunu feki inayodai kutoa mikopo kwa njia ya mtandao.Kampuni hio ya kitapeli inayofananishwa na...
Chama cha mapinduzi zanzibar kiliwahi kuunda kikundi cha janawiri munamo miaka ya 2000 na kukitumia
kikundi hiki cha janjawire kwa kufanya hujma na ubadhirifu wa aina nyingi sana na mpaka leo...
Ninashawishika kusema hivyo baada ya kuiangalia katiba ya kenya katika maeneo muhimu manne(4)
1. Katiba ya Kenya imeruhusu kuwa na tume huru ya Uchaguzi ambayo utendaji wake hauwezi kuingiliwa na...
Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa...
Unajua tunagesi sasa na utajiri wa Mafuta Dhahabu na Tanzanite.
Viongozi badala ya kuweka mipango ya kujiendeleza naona wanaweka mipango ya kujijengea Pepo yao Tanzania (KIGAMBÔNI) KWA KUWEKA...
Wakuu,
Kuna ombwe kubwa la uongozi ndani ya nchi yetu ambalo linaweza kusababisha amani na utulivu ndani ya nchi yetu kuvunjika.Watu wasio na uwezo wa kusimamia familia zao ndiyo leo hii wamepewa...
CCM hawana kipaumbele. Na bila sahaka katika neno la Leo. Masoud Kipanya katoa mpya ambao ndiyo ukweli. Siasa za CCM za majitaka ndio chanzo cha haya yote. Badala ya kutilia mkazo elimu, wao...
SAKATA la kuhojiwa kwa Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Jumamosi, Charles Misango, pamoja na mwandishi, Josephat Isango, kwa madai ya kuandika habari ya uchochezi limechukua sura mpya, baada ya...
Katika hali ya inavyoelekea kuvutia uchaguzi wa mwaka 2015 serikali kwa ufadhili wa benki ya Dunia ( madeni na Mikopo) imezindua mpango wa serikali wa kuanzia mwaka 2014-2015 huku elimu na Maji...
Kulikuwa na tetesi kwamba kutakuwa na maandamano ya wananchi hapa Lindi ila ghafla jeshi la polisi limepita mitaani na kuwaonya wananchi kuto kushiriki katika maandamano hayo eti kuna taarifa za...
Kulikuwa na uchaguzi mdogo wa mitaa miwili, vijiji 6 na vitongoji 37... Pia nafasi 120 za wajumbe wa serikali za vijiji.
CHADEMA kimeendelea kuitesa CCM ambapo kimezoa mitaa yote miwili (Bank &...
Ndg makamanda;
jana mkuu wa Singida alikuwa amepanga kufanya mkutano ktk mji wa Kiomboi ambako ndio makao makuu ya wilaya,lakini mkutano huo ulikosa watu kutokana na gari lililotumika kutoa...
Katika jambo ambalo linanishangaza katika siasa za nchi yetu Tanzania ni hii ngonjela ya viongozi wa CCM kuwa "wanachama na chama wanawajibu wa kusimamia serikali".Hizi ni pumba tupu kwakuwa...
Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Mkoani Mwanza, kimemtaka Rais Jakaya Kikwete amfukuze kazi haraka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dk. Shukuru Kawambwa, kwa matokeo...
MA T A T I Z O yanayojitokeza nchini hivi sasa na hususan Zanzibar mpaka kusababisha mauaji ya kiongozi wa dini, yananifanya niwe na mawazo ambayo naamini yakichukuliwa kama ushauri na...
Katika pitapita zangu Lushoto mjini nilikuta kundi la watu limekusanyika, kumbe alikuwa ni Kisandu amezungukwa na kundi la vijana na wazee wachache wakitaka arudi kugombea Lushoto, na haya ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.